Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Inachekesha sana ila kama huna ndugu shabiki upande wetu utacheka sana LONDON BOY
0 Reactions
4 Replies
536 Views
Tunaposema fainali hii ya Kombe la Dunia ilikuwa ya mashabiki wa Barça, mtuelewe Mbali na Barça kutoa idadi kubwa ya wachezaji, kwa mara nyingine tena mchezaji aliyefunga bao la ushindi alikuwa...
7 Reactions
37 Replies
581 Views
Lamine Yamal si mtoto Pekee wa familia yake anayevutia macho ya watu duniani kote. Ndugu yake wa kambo mwenye umri wa miaka mitatu, Keyne, amekuwa mmoja wa nyota waliovutia zaidi katika Kombe la...
7 Reactions
32 Replies
773 Views
Kama ulitazama 98, 02, 06, 10, 14, 18, 22 Basi jana ya 26 uliona bongo movie.
3 Reactions
25 Replies
511 Views
Baada ya France kufungwa na kupigiwa mpira mkubwa sasa kesho ni zamu ya Argentina ambaye kuanzia group stage mpaka quarter final amekuwa akicheza na vibonde pamoja na kubebwa na marefa Sasa kesho...
7 Reactions
27 Replies
823 Views
1. Lamine Yamal – mshambuliaji (FC Barcelona) 2. Pau Cubarsí – beki wa kati (FC Barcelona) 3. Gavi (Pablo Martín Páez Gavira) – kiungo (FC Barcelona) 4. Dani Olmo – kiungo mshambuliaji (aliwahi...
4 Reactions
39 Replies
638 Views
NYOTA wawili wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lisandro Martinez na Cristian Romero, walionekana wakikwepa kupeana mikono na Rais wa Marekani, Donald Trump. Ni wakati wa kukabidhiwa medali...
6 Reactions
28 Replies
723 Views
Rodri hana goal wala assist. Messi ana goli 8 na assist 4. Rodri mchezaji bora wa mashindano wakati Messi sio. Hii ni dhuluma ya wazi kabisa.
4 Reactions
34 Replies
668 Views
The World Cup is one of the biggest sporting events on Earth, but behind every match is a multi-billion-dollar business. ⚽💰 From global broadcasting rights and sponsorship deals to ticket sales...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
  • Featured
Baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii Agosti 12, 2026 wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC, timu hizo mbili zitaendelea na maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC 2026/2027. Yanga SC...
2 Reactions
13 Replies
980 Views
Game lishamalizika kiroho. Kazi kwako mkamaria. Hawa Argentina hawana chao na kama Argentina watashinda hii WORLD CUP basi naomba kwa ridhaa yangu mwenyewe bila shinikizo kutoka kwa mtu yeyote na...
6 Reactions
18 Replies
355 Views
Usikubali timu yako wakahamia wale mashabiki wa Christopher ni kama wana laana Waliipa hype Ufaransa ona sasa wametupwa nje ya mashindano, leo watahamishia laana England. Huko napo watakula...
6 Reactions
66 Replies
1K Views
Kama shabiki wa Man united wa miaka zaidi ya 20 ambaye nilishuhudi nyakati nzuri za mafanikio ya Man united chini ya Sir Alex Ferguson na CEO David Gill, nawasiwasi nyakati zile nzuri zinaweza...
3 Reactions
2 Replies
161 Views
Kumekuwa na ubishi sana kuhusu yupi kiungo bora kati ya Bellingham & Pedri na viungo wengine … takwimu za Jude 👇 • Magoli 6, pasi 1 ya mabao, mara 4 kuwa Mchezaji Bora wa Mechi (MOTM), mechi 6...
1 Reactions
26 Replies
378 Views
Heshima anayopewa Leonel Mess na wachezaji wenzake wa Argentina, ni mchezaji mwingine yupi wa timu ya Taifa duniani anayepewa heshima kama hiyo?
6 Reactions
16 Replies
507 Views
Kadri Kombe la Dunia 2026 linavyokaribia tamati, mjadala kuhusu mshindi wa Ballon d'Or umechukua kasi. Miongoni mwa majina yanayotajwa zaidi ni nahodha wa Argentina, Lionel Messi, ambaye akiwa na...
6 Reactions
30 Replies
606 Views
Niliifahamu sura ya Messi kuwa ni mtu anapenda kuheshimiana, baada ya yule mchezaji mwenzake wa kumuita nani sijui, alikua na urafiki na mchezaji mwenzie wa hapo timu ya taifa ya Argentina. Huyo...
7 Reactions
90 Replies
2K Views
Hawa miamba wamefanya ulimwengu umefurahi sana kila mmoja kwa nafasi yake kwa kile ambacho wamekionyesha kwenye mpira wa miguu. Ni asilimia ndogo sana wanaweza kuwepo kwenye kombe lijalo la dunia...
6 Reactions
27 Replies
356 Views
Ubora wa mechi unachangiwa na vitu vingi mfano; intensity ya mechi,element of suprise,Level ya ushindani na ufundi,vibe la nje ya uwanja, mvuto wa wachezaji husika, n.k kwa mtazamo wangu Hizi ni...
0 Reactions
12 Replies
239 Views
Back
Top Bottom