Shirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA) limemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Somalia, Omar Abdulkadir Artan, kuchezesha mchezo wa fainali ya UEFA Super Cup kati ya Paris Saint-Germain na Aston...
Hii pasi imepigwa na Lionel Messi katika mchezo wao wa kirafiki kati ya Argentina na Iceland. Ni mchezo wa maandalizi ya michuano ya kombe la dunia litakalo timua vumbi huko Marekani, Mexico na...
Wakuu salamu,
Wakati timu yetu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) ikielekea nchini Morocco kwenye fainali za AFCON U-17, mchambuzi mahiri wa soka nchini, Miraji...
Ndiyo, leo ndiyo siku ya ufunguzi wa Kombe la Dunia 2026! ⚽🌎
Mexico itafungua Kombe la Dunia dhidi ya Afrika Kusini mjini Mexico City. Hii ni marudio ya mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia 2010...
Salaam to everyone, and Happy World Cup Holiday.
Kama ilivyo kawaida ya kwamba kila baya litalipwa hapa hapa duniani.
Leo kwenye World Cup mechi ya ufunguzi kati ya Mexico na South Africa...
The general odds in betting platforms are set by a combination of algorithms, data analysis, and human expertise. Here's a breakdown of how this process typically works:
1. Oddsmakers...
There’s no real “role” of drug cartels in the World Cup—officially or in football at all.
What people usually mean when they ask this is something more indirect and uncomfortable: how organized...
Hamna siku inayo pita bila kufuatilia chombo cha habari pamoja na social network ila nipo mbali sana na habari za mpira.
Mchana niliona instagram shamra sahara za fifa lakini akili yangu najua...
Haiti imelazimika kubadilisha jezi zake za Kombe la Dunia Saa chache kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia 2026 baada ya FIFA kubaini kuwa baadhi ya vipengele vya muundo wake vinakiuka kanuni za...
Kheri zitawale
Zilianza taarifa kuwa hakuwa akipewa sapoti za kutosha na baadhi ya watu na media, kama mtanzania wanadai alitakiwa apewe sapoti na media zote nchini binafsi najua hizi media ni...
Kuna kufungwa, kufanga na kutoka sare. Sasa km timu unayoishabikia imefungwa usichukue hisia zako ukawa na hasira kiasi cha kutaka kuvunja mpaka TV.
Ilikua hivi mpira umeanza alipofungwa SA...
Mwamuzi mashuhuri wa soka kutoka Somalia, Omar Artan, amezuiwa kuingia Marekani licha ya kuwa miongoni mwa waamuzi 52 walioteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuchezesha mechi za Kombe la...
Nina malalamiko kuhusu mfumo wa cashout wa SportPesa. Haiingii akilini kuona kiasi cha cashout kikiwa chini ya hata pesa niliyoweka, ilhali tayari mechi nyingi kwenye mkeka zimefanikiwa.
Kwa...
Hapo vip!
Ni wazi yanga wanalijua hili ndio maana huwa wanacheza na marefa na sio kcheza na Simba.Yanga hana uwezo wa kuifunga au kutoka sare na Simba ila refa na waamuzi wa pembeni ndio huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.