Kwakifupi si Moo wala Magori, wote wanaogopa sana kipigo cha kihistoria watakachopata tarehe 12/08/2026 hivyo wameona watengeneze mgogoro ili ionekane Yanga kaifumua Simba magoli 15 - 0 kipindi...
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, ametangaza kufuta rasmi mpango uliokuwa na utata mkubwa wa kuuza hisa za mashindano ya shirikisho hilo kwa wawekezaji binafsi.
Infantino alisema imedhihirika wazi...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha na mwanachama nguli wa Klabu ya Simba, Amos Makalla, amepinga vikali taarifa za uteuzi wake kuwa Mjumbe wa Baraza la Wadhamini la Klabu ya Simba SC, akitangaza kuwa mchakato...
Zamalek waipa vitisho shirikisho la soka barani afrika CAF kama watahidhinisha Al Ahly fc kushiriki mashindano ya klablu bingwa afrika mara baada ya kuwepo kwa taarifa ya kutaka kuongeza timu...
Klabu ya Simba SC imepitisha Baraza jipya la Wadhamini baada ya wanachama kulidhinisha katika Mkutano Mkuu wa Dharura uliofanyika leo, Agosti 2, 2026, Bunju jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa...
Fanyeni hivi zugeni kwa Waandishi wa Habari kuwa Simba SC bado haijatangaza rasmi Usajili wake wa Msimu ujao na kwamba Mtu kama Doumbia aliletwa tu kuongeza nguvu Timu hasa katika haya Mashindano...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Kama ambavyo wachezaji hupeana mikono baada ya mechi kwisha na kabla ya mechi kuanza, kwanini wasianzishiane mpira in the opposite directions kwa both halves??
Yaani...
Mattias Grafström amekuwa mshirika wa karibu sana na mtu wa kuaminika wa Gianni Infantino kwa miaka mingi ndani ya FIFA, akihudumu kama Mkuu wa Wafanyakazi kabla ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu...
Shirikisho la soka duniania FIFA limesema "hakuna anayeuza soka", lakini mpango wa rais wake Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa katika biashara za mashindano ya FIFA umeibua...
Afisa Mkuu wa Uendeshaji (COO) wa FIFA, Kevin Lamour, ametoa taarifa kali akisema kuwa wafanyakazi wa FIFA "walidanganywa" kuhusu mpango wa kuuza hisa za mashindano ya FIFA (ikiwemo Kombe la...
Nchi zote 55 wanachama wa UEFA zimepiga kura kwa kauli moja kuunga mkono mgomo wa kususia Kombe la Dunia, ikiwa ni hatua ya kupinga mpango wa FIFA wa kuuza hisa za mashindano yake kwa wawekezaji...
Nimeona tangazo Instagram, msemaji wa klabu ya simba akitangaza kampuni ya uuzaji wa ac, sio kosa ila kosa nikutangaza biashara BINAFSI zisizo nufaisha klabu akiwa na JEZI ya SIMBA ilihali ni...
Kwa maoni yangu, Yanga imeonyesha kwa miaka ya karibuni kwamba viongozi wake wengi wanaielewa soka kama taaluma na sayansi ya usimamizi, si mchezo wa hisia pekee. Wanatambua umuhimu wa mipango...
Naomba tajiri uitishe kikao cha ukoo mapema sana ili waidhinishe fedha utuletee Mayele na Feitoto kabla dirisha halijafungwa.
Wanatupigia kelele sana huku mtaani. Pia natoa wito kwa mashangazi...
Simba wanakamilisha ratiba ya mashindano haya, hata wakishinda awaendi popote,
Simba SC watamaliza ratiba yao ya CECAFA Kagame Cup kwa mchezo dhidi ya Singida Black Stars leo, Julai 31, 2026...
Wanaokwepa kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na wanaobadilisha milango ya kuingilia viwanjani wanakwepa vitendo vya ulozi kwenye michezo. Hivyo, adhabu kubwa zaidi ilipaswa kuwekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.