Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,521
- 9,564
Aaaah kubeti ni ussenger kmmk. Nimempa Spain Mazima, nimeweka 1,724,000/= baada ya kuongea na boss Mad Max akaniahidi kupata kigari cha bei nafuu nikaamua nikuze mtaji kwa kuweka mechi za uhakika tu.
Nikazama Salamba, nikanunua tips, nikaona nisiweke mkeka wote, nikauchambua nikaona mechi hii nikampa Spain mazima.
Nikazama Salamba, nikanunua tips, nikaona nisiweke mkeka wote, nikauchambua nikaona mechi hii nikampa Spain mazima.