Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Klabu ya Simba SC imepitisha Baraza jipya la Wadhamini baada ya wanachama kulidhinisha katika Mkutano Mkuu wa Dharura uliofanyika leo, Agosti 2, 2026, Bunju jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa...
5 Reactions
21 Replies
593 Views
Baada ya kutoa mabilioni kwaajili ya usajili, deni sasa ni bilioni 110. Wanasimba tujitahidi tumlipe rais wetu wa heshima mapema asije akazira.
6 Reactions
17 Replies
692 Views
Fanyeni hivi zugeni kwa Waandishi wa Habari kuwa Simba SC bado haijatangaza rasmi Usajili wake wa Msimu ujao na kwamba Mtu kama Doumbia aliletwa tu kuongeza nguvu Timu hasa katika haya Mashindano...
4 Reactions
13 Replies
525 Views
Haya JamiiForums Football Pundits Kazi kwenu.
2 Reactions
6 Replies
277 Views
Kuna clubs za israel naona zinacheza stage za awali kwenye UEFA CHAMPION LEAGE na mashindao mengine ya ulaya je imekaaje wakati ilo taifa lipo ASIA?
2 Reactions
12 Replies
376 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana. Kama ambavyo wachezaji hupeana mikono baada ya mechi kwisha na kabla ya mechi kuanza, kwanini wasianzishiane mpira in the opposite directions kwa both halves?? Yaani...
3 Reactions
19 Replies
242 Views
Mattias Grafström amekuwa mshirika wa karibu sana na mtu wa kuaminika wa Gianni Infantino kwa miaka mingi ndani ya FIFA, akihudumu kama Mkuu wa Wafanyakazi kabla ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu...
4 Reactions
8 Replies
249 Views
Shirikisho la soka duniania FIFA limesema "hakuna anayeuza soka", lakini mpango wa rais wake Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa katika biashara za mashindano ya FIFA umeibua...
1 Reactions
4 Replies
178 Views
Afisa Mkuu wa Uendeshaji (COO) wa FIFA, Kevin Lamour, ametoa taarifa kali akisema kuwa wafanyakazi wa FIFA "walidanganywa" kuhusu mpango wa kuuza hisa za mashindano ya FIFA (ikiwemo Kombe la...
3 Reactions
6 Replies
182 Views
Nchi zote 55 wanachama wa UEFA zimepiga kura kwa kauli moja kuunga mkono mgomo wa kususia Kombe la Dunia, ikiwa ni hatua ya kupinga mpango wa FIFA wa kuuza hisa za mashindano yake kwa wawekezaji...
6 Reactions
11 Replies
436 Views
Nimeona tangazo Instagram, msemaji wa klabu ya simba akitangaza kampuni ya uuzaji wa ac, sio kosa ila kosa nikutangaza biashara BINAFSI zisizo nufaisha klabu akiwa na JEZI ya SIMBA ilihali ni...
1 Reactions
10 Replies
395 Views
Kwa maoni yangu, Yanga imeonyesha kwa miaka ya karibuni kwamba viongozi wake wengi wanaielewa soka kama taaluma na sayansi ya usimamizi, si mchezo wa hisia pekee. Wanatambua umuhimu wa mipango...
3 Reactions
7 Replies
194 Views
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Karbu sana mabula Karbu sana bro LONDON BOY
3 Reactions
3 Replies
387 Views
Naomba tajiri uitishe kikao cha ukoo mapema sana ili waidhinishe fedha utuletee Mayele na Feitoto kabla dirisha halijafungwa. Wanatupigia kelele sana huku mtaani. Pia natoa wito kwa mashangazi...
6 Reactions
19 Replies
387 Views
Simba wanakamilisha ratiba ya mashindano haya, hata wakishinda awaendi popote, Simba SC watamaliza ratiba yao ya CECAFA Kagame Cup kwa mchezo dhidi ya Singida Black Stars leo, Julai 31, 2026...
0 Reactions
18 Replies
444 Views
Wanaokwepa kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na wanaobadilisha milango ya kuingilia viwanjani wanakwepa vitendo vya ulozi kwenye michezo. Hivyo, adhabu kubwa zaidi ilipaswa kuwekwa...
0 Reactions
4 Replies
160 Views
Rafiki yangu mmoja kapigana usiku uliopita, hivyo imenibidi nimpe support. Watu wanakesho, halafu mnakuja kutoa judgment za kijinga. Sijawahi kuona mabondia wazuri wakipewa nafasi, ila...
8 Reactions
36 Replies
463 Views
Azam TV mnastahili hongera kwa matangazo yenu,mmemaliza kutangaza kombe la dunia,wakati mkionesha ligi ya basketball,mmeonesha ngumi jiwe,mmeonesha bongo star search,hivi sasa mnaonesha...
6 Reactions
23 Replies
490 Views
Ujio wa Fei Toto kwenye timu ya Azam kutoka timu ya Yanga hakujaiongezea thamani timu ya Azam. Kiwango cha Azam kwenye ligi kimebaki kilekile kabla na baada ya kuja Fei Toto. Aliyefaidika ni Fei...
2 Reactions
20 Replies
456 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Mji wa AFCON unaojengwa Fumba, Zanzibar, akimjibu Aliyekuwa mgombea...
2 Reactions
12 Replies
930 Views
Back
Top Bottom