Naangalia match sasa hivi. Huyu kipa wa Cape Verde ni hodari sana. Ameokoa the IMPOSSIBLES!
Nadhani ball control ni over 90% for Spain, Lakini kipa wa Verde ameokoa magoli mengi!....
Mimi siyo mshabiki wa mpira na sina utaalamu wa mpira lkn by eyes unaona kuwa huyu anafanya vema