Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,061
- 25,134
Pamba United ilikuwa timu iliyokuwa inamilikiwa na chama cha ushirika cha Nyanza Cooperative Union, ambacho kilikuwa kinajihusisha na zao la pamba tu. Timu hii ilipofufuliwa tena chini ya Halmashauri ya jiji la Mwanza, imeendelea kutumia jina la Pamba ambalo halina uhusiano wowote na timu hiyo sasa hivi.
Ni wakati wa kubadilisha jinal lake kutoka Pamba na kujinabisha na jiji la Mwanza tu, nafikiri waitwe Mwanza City United, au kwa kiswahili Mwanza Jiji
Ni wakati wa kubadilisha jinal lake kutoka Pamba na kujinabisha na jiji la Mwanza tu, nafikiri waitwe Mwanza City United, au kwa kiswahili Mwanza Jiji