Kwa wapenda soka wa club za hapa nchini. Kama mtakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 1990 club ya simba ilikuwa na wafadhili SHAFI BORA na AHMED BORA. Siwasikii siku hizi, WAPO WAPI??? TUJUZANE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.