Simba SC inatarajiwa kurejea Dar es Salaam , Agosti 5, 2026, baada ya kukamilisha kambi yake ya maandalizi nchini Rwanda iliyojumuisha mechi tatu za Kagame Cup pamoja na mchezo mmoja wa kirafiki...
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Mangungu; "Kwa mujibu wa Katiba anaeitisha Mkutano ni M/Kiti wa Klabu, Halafu Bodi tayari walishajadiliana na upande wa MO Dewji ulipendekeza majina yake ambayo...
Wanachama wa Simba baada ya kubamizwa kwa miaka 3 mfululizo na Yanga ya Yusuph Manji walimkubali Mo Dewji kama mdhamini wa Simba kwa mihemko bila kujiuliza sana. Baada ya Simba ya Mo kuibamiza...
Klabu ya Simba imetangaza kusimamisha kwa muda masuala yote yaliyokuwa yakiendelea kuhusu Baraza la Wadhamini, kufuatia uamuzi uliofikiwa katika kikao cha Bodi ya Wakurugenzi kilichofanyika Agosti...
Hii imenishangaza sana, siku ya uzinduzi wa jezi za klabu ya Simba kwa ajili ya msimu wa 2026/2027 ukifanyika Ngorongoro.
Siku hiyo hiyo jioni nimekutana na jezi feki nyingi sana zimetapakaa...
Nmekuwa nashangaa kuona kila mechi inayokutanisha Simba na yanga kupangiwa kuchezwa visiwani Zanzibar, nadhani kwa kufanya hivyo ni kutukosea Sisi watanganyika(Tanzania bara)kwani Simba na yanga...
Huyu jamaa ingekua bila yeye exclusive interview nyingi za sports pale crown zingekua hovyo sana jamaa hanaga ile ukimjibu anakaa kimya.
Juma ayo najiuliza tena alifikaje Crown?
Sikutukan na...
“Mimi ndiye Mwenyekiti wa Simba Sc kwa kuchaguliwa na wanaofanya mabadiliko ni Wanachama wa Simba Sc na yapo matakwa kisheria yanayowalazimu kufanya hayo mabadiliko.
“Mkutano wa dharura una...
KARIAKOO DERBY | Leo Jumatano kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC
Saa 11:00 Jioni | 🔴 LIVE updates hapa
Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na kila mwanamichezo Tanzania na Afrika...
Kwa sisi wazoefu wa football ya nchi hii tunajua kuwa, hizi timu mahasimu wawili simba na yanga zinahitaji kuwa na viongozi katili kweli kweli.
Jiulize kwanini mahasimu wetu yanga linapokuja...
Nimesikiliza kwa makini mahojiano kati ya watangazaji wa Crown Fm na mgeni wao mheshimiwa genius professor Mangungu ambaye ni boss wa Simba Sports Club.
Nilichogundua ni kwamba Mheshimiwa genius...
Wengine wanaotajwa kung'olewa yumo Magori na Matola
Haijajulikana sababu hasa ya Fagio hill la Chuma kupitishwa huko Bunju, japo kuhusu Matola inadaiwa amechokwa na Washabiki wa Timu hiyo...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Crescentius Magori, ametangaza kuwa kikao kilichofanyika Bunju hakikuwa kikao rasmi cha Mkutano Mkuu Maalum wa wanachama, hivyo maamuzi yote...
Bus la kifahari la simba aina ya Irizar limeharibika njiani wakielekea karatu kwenye uzinduzi wa jezi yao mpya
Uzuri walikuwa wamesafiri na fundi kabisa, kwani tangu mwanzo wa safari lilikuwa...
Hongera sana mwananchi, Jasusi la ukweli, hakika unaifanya kazi yako kwa ufanisi ulio tukuka. Hongera sana mzee Mangungu, hongera waliomfanyia scouting na kumsajili pale Simba.
Nimeona taarifa za malalamiko toka Z'bar. Nimeona tena taarifa ya maandishi toka kwa mjumbe wa Bara. Wote wanasema Mshindi wa nafasi alikuwa Antony Mtaka, badala yake kapewa mtu aliyepata kura...
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, leo itashuka dimbani kuwania kuongeza nafasi ya kutinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.