Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Baada ya uongozi wa Try Again na Mangungu kusuasua na timu Kufanya Vibaya kitaifa na kimataifa na kua zinafanyika Sajili mbovu na za kipigaji kuletwa wachezaji wasio na Uwezo, kama Pah Omar Jobe...
4 Reactions
33 Replies
513 Views
Mlianza kuisapoti Portugal ya Pimbi Christiano Ronaldo ilipotolewa haraka sana mkahamia kwa England na Keane na walipotolewa haraka sana mkahamia kwa Haaland na Norway yale nao walipotolewa...
10 Reactions
57 Replies
1K Views
Agosti 5, 2026, Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeomba radhi kutokana na makosa yaliyofanywa katika mchakato wa pendekezo lililoondolewa la kuuza haki za kibiashara zinazohusiana na Kombe la...
1 Reactions
4 Replies
146 Views
  • Redirect
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino, ameomba radhi kwa makosa yaliyofanyika katika mpango uliokuwa ukilenga kuuza sehemu ya hisa za mashindano ya FIFA kwa wawekezaji binafsi...
1 Reactions
– Replies
– Views
Rais wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Said anasikitika kuwatangazia kuwa Ngao ya Jamii 2025 imeibiwa wakati wa kusherehekea Parade Yao na ameomba Kwa aliyechukua Ngao hiyo anaombwa airejeshe Makao...
5 Reactions
32 Replies
740 Views
Hili nimeliwaza tu huu mda, waza hata na wewe!! Hivi ushawahi kuona wapi Team kubwa na inayotawala soka katika Nchi husika inabadili ma golikipa kila baada ya msimu mmoja? Niambie tu wapi huko...
1 Reactions
1 Replies
139 Views
Winga wa Real Madrid, Vin Jr amefuta picha zote kwenye mtandao wake Instagram leo Jumatano Agosti 5, 2026. Winga huyo ambaye anahusishwa na Arsenal amefuta picha zote kwenye mtandao huo pamoja na...
2 Reactions
7 Replies
236 Views
Tajiri na mdhamini wa Simba Mohamed Dewji amesema kuwa kwa kipindi kutoka 1998 hadi 2026 amewekeza zaidi ya 100bl klabuni hapo.
6 Reactions
20 Replies
424 Views
Jeshi la Polisi Mkoani Geita limejipanga kikamilifu kuhakikisha amani na usalama vinatawala kuelekea msururu wa matukio makubwa ya kimichezo na kijamii yaliyopangwa kufanyika leo, Agosti 4, katika...
2 Reactions
5 Replies
214 Views
Naaam !!! Habaari za uzima Mabibi na bwana , ni yule yule kijana wenu NALIA NGWENA zee la football sikuhizi nimepewa jina jipya naenda kama WATA PLEYA Nisiwachoshe sana twende kwenye Maada kuu...
3 Reactions
17 Replies
434 Views
Simba kinachowatesa mmekua waoga sana mnaona akiondoka Mo hamuwez pata Tajiri mwingine ndio shida hio.. Nimesema jana na ninarudia simba viongozi wengi ni mashabiki wana mihemuko sana ya...
2 Reactions
10 Replies
212 Views
Nahodha wa klabu ya SC Villa ya Uganda, David Owori, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa majambazi karibu na nyumbani kwake. Taarifa za kifo cha Owori, zimethibitishwa...
1 Reactions
5 Replies
175 Views
FIFA imepanga kuunda kampuni mpya ya kibiashara iitwayo FIFA Forward Enterprise, yenye thamani ya takribani $20 Bilioni (karibu TZS Trilioni 50) kisha itauza 20% ya hisa za kampuni hiyo kwa...
12 Reactions
23 Replies
408 Views
Rais wa FIFA Gianni Infantino amewaita viongozi wakuu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwenye mkutano nchini Morocco siku ya Jumatano, tarehe 5 agosti, kufuatia siku nyingine ambapo rais wa...
1 Reactions
7 Replies
173 Views
Ni kweli kwamba PSG imekuwa na dirisha bora la usajili, kuanzia Lucas Digne hadi Akliouche na Mika Godts. Lakini hatua wanayoikaribia sasa inaweza kuwa usajili muhimu zaidi wa msimu wao. Kwa muda...
3 Reactions
7 Replies
285 Views
Kwa Upumbavu wa Kugombana ulioanza tena Klabuni Simba kwa Kiongozi wa Wanachama Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi Poti wangu kutoka Mkoa wa Mara (Musoma) Crescetius Magori kuanzia leo hapa...
3 Reactions
16 Replies
409 Views
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU LONDON BOY
4 Reactions
7 Replies
424 Views
Simba SC inatarajiwa kurejea Dar es Salaam , Agosti 5, 2026, baada ya kukamilisha kambi yake ya maandalizi nchini Rwanda iliyojumuisha mechi tatu za Kagame Cup pamoja na mchezo mmoja wa kirafiki...
2 Reactions
7 Replies
285 Views
Back
Top Bottom