Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kama kuna tukio moja kubwa linalowakutanisha watanzania wengi kwa mara moja, basi tukio hilo ni Derby ya Kariakoo. Hizi klabu mbili zinawaunganisha watanzania nje ya mipaka ya itikadi, dini...
4 Reactions
19 Replies
185 Views
🔥 COMEBACK 5 KUBWA ZAIDI KWENYE HISTORIA YA SOKA (2005–2025) ⚽🔥 🥇 1. Liverpool 3-3 AC Milan (2005) Walikuwa nyuma kwa mabao 3-0 kipindi cha kwanza dhidi ya mabingwa waliotikisa Ulaya. Ndani ya...
9 Reactions
44 Replies
873 Views
  • Poll Poll
Vilabu vya Simba SC, Yanga SC na Azam FC vimezindua rasmi jezi zao zitakazotumika katika msimu wa 2026/27, huku kila klabu ikiwasilisha muundo mpya unaoakisi utambulisho wake na malengo ya msimu...
4 Reactions
27 Replies
804 Views
Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao. Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya...
2 Reactions
9 Replies
214 Views
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally ametanabaisha kwamba siku ya Simba (Simba Day) Jumamosi Agosti 8, 2026 ataingia Uwanjani kwa namna ya tofauti ambapo ataingia kwa kupaa na ungo.
2 Reactions
31 Replies
428 Views
Ni vile tu watu hupenda michezo na hakuna mishe za kuwapa watu ubusy ila mvuto unapungua si kwa wasanii,wala timu halikwa
4 Reactions
15 Replies
340 Views
Kuna nyakati chache katika historia ya soka ambazo dunia haichagui kwa kura, bali inakubaliana kimya kimya. Hakuna mkutano unaoitishwa, hakuna tangazo linalosomwa, lakini macho ya mamilioni ya...
2 Reactions
7 Replies
296 Views
Hakyanani uliyetengeza Jezi za Yanga SC safari hii umewatafutia tu Yanga matatizo mitaani. Sasa zinitwa Jezi Mimba.
2 Reactions
3 Replies
210 Views
Halafu kwanini kila anayezivaa hizi Jezi hasa akiwa ni Mwanaume anaonekana kama vile ana Mimba? Kulikoni tena?
4 Reactions
11 Replies
351 Views
Viwango vipya vya ubora wa klabu za Afrika (CAF Clubs' Ranking) msimu wa 2026/27 vinaonyesha Simba SC ikiwa nafasi ya 11 kwa alama 38, huku Yanga SC ikishika nafasi ya 12 kwa alama 35. Azam FC...
7 Reactions
24 Replies
800 Views
Mabingwa wa NBC mara 5 Mfululuzi Yanga SC leo wanafanya Mkutano wao Mkuu wa Mwaka na Uchaguzi , katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki, . Na mojawapo ya Ajenda kuu ni Uchaguzi wa kuchagua viongozi...
3 Reactions
4 Replies
390 Views
Umekuwa kocha wa timu za miguu za wanawake kwa miaka mingi sana.Umefanya mengi mazuri,lakini uwezo wako na ujuzi wako umefika upeo,inatosha.Jiuzulu aje mwingine ajaribu na yeye,huna jipya,angalia...
3 Reactions
14 Replies
243 Views
Kwa mujibu wa Mwandishi Lorenz Köhler amesemea kuwa kiungo mshambuliaji Neo Maema anatarajiwa kurejea Simba SC kwa mkopo akitokea Mamelodi Sundowns kwa msimu wa 2026/27. Simba SC na Mamelodi...
2 Reactions
11 Replies
371 Views
Kuna tafsiri ambayo wana Simba SC Tanzania wanayo kwa Mwenyekiti wa Klabu yao MURTAZA MANGUNGU na kuna tafsiri wana Simba wanayo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi CRESENTIUS MAGORI. Bahati...
6 Reactions
35 Replies
827 Views
Tanganyika na Zanzibar wanacheza huko. Lakini kwenye screen wameandika Zanzibar na Tanzania bara. Sijui ni kwa nini wasiandike tuu Tanzania bara Vs Tanzania visiwani
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Wachimba Dawa FC ni timu hodari kwa kujisaidia haja kubwa kwenye viwanja vya watu. Tarehe 12 August, 2026 ndiyo ile siku ambayo rekodi ya timu kufungwa mabao double digit itaandikwa. Najua humu...
1 Reactions
27 Replies
401 Views
Mashabiki wa Klabu ya Simba wa Tawi la UWASINYA lililopo katika Kata ya Nyarugusu, Halmashauri ya Wilaya ya Geita Mkoani humo, katika kuelekea Msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC), wamesherehekea...
2 Reactions
4 Replies
249 Views
Gwiji wa soka duniani, Luis Figo, ametoa mashambulizi makali dhidi ya Rais wa Shirikisho la Soka la Duniani (FIFA), Gianni Infantino, akimtaka aondoke madarakani mara moja akidai uongozi wake...
1 Reactions
1 Replies
161 Views
Droo ya raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) msimu wa 2026/27 inatarajiwa kupangwa leo Agosti 6, 2026, katika makao makuu ya CAF jijini Cairo...
2 Reactions
8 Replies
473 Views
Back
Top Bottom