Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hotuba ya jana ilikua ni kama inataka kufikisha ujumbe kuhusiana na hali halisi ya kinachoendelea pale unyamani Kwa anayefahamu Kwa mujibu wa katiba ya simba muundo wa kimamlaka uko vipi upande...
0 Reactions
14 Replies
248 Views
Yaan kuanzia Jana mechi ya Simba na Leo Yanga wanacheza kama timu za shule ya msingi sababu yakulazimisha kila mchezaji acheze, yaan hivi vitoto haviko serious na MPIRA
0 Reactions
13 Replies
268 Views
Jana mo kaongea mengi lakini tujikumbushe ahadi zake kabla na baada ya kuingia Simba. Kabla ya kuingia Simbq alisema anataka kuifanya Simba ishindane na Mazembe ambayo wakati huo ilikuwa kiwango...
3 Reactions
12 Replies
233 Views
Miaka 33 mpka sasa lakini leo Karudisha viungo wote darasani, kaanza ngoma kakimbia kaja DAMARO kakimbi kaja DUKE, MUDA, na CASSEMIRO hao wataenda kulala na viatu mtaalamu alizima kelele mjini
4 Reactions
3 Replies
184 Views
Katika kuonesha matukio ya uwanjani Leo hii Tarehe 8-8-2026 Azam TV wamezingua,sijui ni kwa bahati mbaya au makusudi. Wamekua wanaonesha mahojiano Zaidi nje ya uwanja,badala ya kuonesha matukio...
8 Reactions
35 Replies
681 Views
Wakuu, unaambiwa huu uwanja umefanyiwa ukarabati na kukosti b19 za kibongo. Taa hakuna kabisa ni giza tupu, nini kilicho ongezeka hapo zaidi ya, viti, taa na nyasi bandia kama za kmc?
7 Reactions
17 Replies
635 Views
Na hamjaishia tu Kumkataa bali mmeenda mbele zaidi na kusema kuwa ni Mchezaji wa Mangungu msiyempenda.
3 Reactions
13 Replies
426 Views
Klabu ya Simba SC imekubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Kenya Police FC ya nchini Kenya katika mchezo wa Simba Day uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru. Matokeo hayo yamekuja katika kilele cha...
2 Reactions
51 Replies
1K Views
Kivyovyote itakavyo kuwa tatizo kubwa la Simba msimu ujao,ni safu ya ushambuliaji. Kwa jinsi kikosi kilivyo hatutarajii goli za kutosha kwenye michezo ijayo goli 0-2 inatarajiwa kutokea mara...
1 Reactions
5 Replies
162 Views
Watu wanaleta janja janja hadi mbele ya camera na kwa trend ya nchi yetu kuhoji ni kosa la huahini au ugaidi kwenye taasisi yoyote
4 Reactions
13 Replies
310 Views
Kama ungekuwa wewe ni Jose Mourinho, ni yupi kati ya Mbappe na Vinicius Jr ungemuuza? HALA MADRID Kylian Mbappe Vinicius Junior
1 Reactions
12 Replies
318 Views
Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imefikia uamuzi wa kusimamisha kwa muda masuala na matukio yote yaliyokuwa yakiendelea kuhusiana na Baraza la Wadhamini la klabu hiyo, ili kutoa fursa kwa...
2 Reactions
8 Replies
285 Views
UEFA isema katika taarifa yake kuwa ombi la msamaha la Rais wa FIFA, Gianni Infantino, halibadilishi kitu chochote, na kwamba vyama vyake wanachama 55 vinasalia kwenye msimamo wa mpango wao wa...
5 Reactions
26 Replies
506 Views
Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na...
4 Reactions
16 Replies
277 Views
Yeah nawapongeza sana Simba sc, kwasababu naona nafasi ya pili msimu wa 2026/2027 nafasi yao iko very secured. Naona mabeki wao wazuri Kameta Duchu, Kibabage wakipambana angalau wafikie nafasi...
1 Reactions
5 Replies
166 Views
Police have arrested two suspects and recovered dozens of suspected stolen mobile phones as investigations continue into the murder of Owor David, a captain of Villa Football Club. According to...
0 Reactions
6 Replies
117 Views
Pamoja na kufanya maboresho kadhaa ya kikosi kwenye dirisha kubwa la usajili, Klabu ya Simba inatarajiwa kuonyesha sura ya kikosi chake kitakachopambana katika msimu wa 2026/27 wakati wa Tamasha...
3 Reactions
10 Replies
415 Views
Mara baada ya kupata wasaha wakumsikiliza mara kadhaa, nimejiridhisha kuwa ndugu zetu wa Simba wana kila sababu ya kuhakikisha anabaki madarakani ili kuimarisha timu yao. Sioni kiongozi wakumzidi...
1 Reactions
9 Replies
193 Views
Back
Top Bottom