Floyd Mayweather Matatani

Floyd Mayweather Matatani

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,015
Reaction score
24,958
Nevada authorities have charged boxer Floyd Mayweather with two felony counts stemming from allegations that he passed a bad check to make a $200,000 purchase.

Mayweather, 49, is facing charges of theft and “drawing or passing a check with intent to defraud value of $1,200 or greater,” according to documents filed April 27 in Clark County court.
 
Tafsiri tafadhali kwa faida ya members
 
Tafsiri tafadhali kwa faida ya members
Mamlaka ya Nevada imemshtaki bondia Floyd Mayweather kwa makosa mawili ya jinai kutokana na madai kwamba alipitisha hundi batili kufanya manunuzi ya $200,000.

Mayweather, 49, anakabiliwa na mashtaka ya wizi wa "kudanganya kwa kutumia hundi batili yenye thamani ya $1,200 au zaidi," kulingana na hati zilizowasilishwa Aprili 27 katika mahakama ya Wilaya (Kaunti) ya Clark.
 
Anaenda kufirisika huku Nguvu zimemuishia kucheza mapambano ya ushindani.
Arudi tu kuwa mburudishaji kama Mike tyson
 
Madhara ya kupata hela za haraka haraka bila kuwa na usimamizi mzuri. Kuna mahala nilisoma kuwa alikuwa anadai malipo yake yote bila kukatwa kodi, hivyo promoters walikuwa hamalipii kodi. baadaye IRA wakamlamba na bili za kodi, ila sikufuatilia kujua alimalizanaje na hao IRA
 
Kapata hela nyingi sana huyu mwamba hata akikatwa Kodi bado zinabaki nyingi tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom