1964 - Cosmopolitans (Dar es Salaam) [Dar es Salaam league]
1965 - Sunderland (Dar es Salaam)
1966 - Sunderland (Dar es Salaam)
1967 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
1968 - Young Africans...
Wajameni hebu angalieni hiki kipande cha taarifa ya gazei la habariLeo la tar 31/01/09 kuhusu mgogoro kati ya TFF na ZFA;
Vyama hivi viwili vimekuwa vikitofautiana kila mara , inakuwa kama maji...
DStv is pleased to announce that SuperSport has secured the licence to the Barclays Premier League Live Package A in Sub-Saharan Africa and will be showing these matches on SuperSport from this...
Kama mnavyojua SuperBowl XLIII inafanyika my hometown Tampa Bay. Game linachezwa Feb 1.
Wakati watu wa Midwest na North mnakaukiana kwa libaridi la kufa mtu, huku tutakuwa kwenye 80's...
...mzee OLE uko wapi??? unamuona kijana alivyokuja juu huyu? Ranked 4th, na tayari keshambwaga Federer twice, Nadal Once,...na tunaelekea wiki tatu za mwisho kabla ya Australian Open...
Mwaka...
Magori, Rage, Madega, warudishwa TFF
William Mjema
Daily News; Saturday,January 31, 2009 @21:15
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), jana lilitangaza kamati ndogo ndogo za shirikisho hilo...
Jamaa yangu wa mkoa anasema kwamba channel ten haipatikani hewani kama zamani. yaani haipo kabisa. tatizo hili ni kwa wanaotumia madish. Kama kuna mtu anajua lolote kama channel ten wamebadilisha...
TIMU ya soka ya Simba imeweza kuendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuifunga Prisons ya Mbeya mabao 3-1 katika mchezo uliomalizika dakika chache zilizopita katika uwanja wa...
Jamani naomba kuuliza ni timu ngapi zinashiriki ligi kuu Tanzania bara? kwani kwenye internet nasoma tu kuwa timu fulani imeshinda lakini hawaandiki msimamo wa ligi ulivyo kama zilivyo ligi...
Serena's stunning come back
AUSTRALIAN OPEN
Venue: Melbourne Park Date: 19 January-1 February
Coverage: BBC Red Button, Radio 5 Live sports extra, BBC Sport website
Second seed Serena...
Baada ya klabu ya Yanga kukataa kumruhusu mchezaji mrisho ngasa kwenda Norway kwenye klabu ya Lov-Ham Football kuwahi usajiri wa dirisha dogo, uongozi wa Lov-ham Football uliamua kuachana na Ngasa...
West Ham complete Nsereko signing
By Simon Austin
BBC Sports
Nsereko was player of the tournament at the Uefa U19 Championships
West Ham are set to announce the signing of...
Wachezaji 15 wa soka la kulipwa nchini Nigeria wamefariki dunia baada ya basi lao walilokuwa wakisafiria kupinduka.
Wachezaji 15 wa soka la kulipwa katika timu ya FC Jimeta ya Nigeria...
BAADA ya kufanya vizuri katika michezo yake ya katikati mwa wiki, Simba na Yanga keshokutwa na Jumatano zitarudi tena kucheza na Prisons na Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu.
TIMU hizo zitacheza...
Wapenda maendeleo ya soka la Bongo hebu naombeni msaada wenu!
Nimesoma Artcle moja kuhusu Mrisho Ngasa kwenda Norway na kwamba nafasi yake tayari imeshachukuliwa!! Ok Tuyaacha hayo...!!
Mimi hoj...
AIG ends Man Utd sponsorship deal
BBC Sports News
AIG has received a big cash injection from the US government
The troubled US insurer AIG will not be renewing its shirt sponsorship...
Hesabu duru la kwanza zafungwa:Yanga 28, Simba 14
*Wanijeria Simba 'wageuka' mabondia, wajaribu kwa kocha
Na Sophia Ashery
MIAMBA ya soka nchini Simba na Yanga jana ilimaliza ngwe ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.