Channel ten haipatikani mikoani

johnj

Member
Jul 23, 2008
91
31
Jamaa yangu wa mkoa anasema kwamba channel ten haipatikani hewani kama zamani. yaani haipo kabisa. tatizo hili ni kwa wanaotumia madish. Kama kuna mtu anajua lolote kama channel ten wamebadilisha frequency au la atujuze.
naomba kuwasilisha.
 
Doh pole sana mtu wangu, hawa jamaa(CH 10) wamekimbia gharama za kuwa kwenye satelite, wakati huko ndo kinakoangaliwa na hata wa nje ya nchi na ndo kunakoweza kufungua milango ambayo imefungwa kibiashara, wao hilo kwao si tatizo na hawana haja.

Mwambie jamaa yako aweke antenna ya miba ya samaki ataipata tuu akigeuzia maeneo ya mjini
 
Jamaa yangu wa mkoa anasema kwamba channel ten haipatikani hewani kama zamani. yaani haipo kabisa. tatizo hili ni kwa wanaotumia madish. Kama kuna mtu anajua lolote kama channel ten wamebadilisha frequency au la atujuze.
naomba kuwasilisha.

JOHNJ,
Jamii forums inasomwa dunia nzima.
Unamaanisha nini unapoongelea CHANEL TEN?
Mikoani ni wapi pia?
 
Moja : Kama hujui ni moja kati ya tv channels ambazo zipo bongo na ni ya muhimu kwa jamii ikileta habari moto moto kwa jamii

Pili :Watu woote wenye madish kwaajili ya kuona local na international channels kwenye tv zao hawataweza kuiona labda kwa Antenna ya miba ya samaki - Sijui wazikumbuka
 
Channel ten bado wapo kwenye satelite ila sio ile waliyokwepo zamani ambayo channel nyingi za Tanzania wanaitumia,na ili uipate channel Ten basi unatakiwa kulitwist Dish lako kiasi kwamba channel zote za kibongo ambazo zinapatikana kwenye satelite hautaziona.kwa maelezo zaidi fungua LyngSat - Lyngemark Satellite then nenda kwenye free tv baada ya hapo fungua tv za africa na mwisho fungua tv za Tanzania utapata frequncey na satelite ilipo channel ten. Nadhani nimeeleweka IQ johnj
 
FUNGUA LyngSat - Lyngemark Satellite na sio kama inavyoonekana kwenye post yangu ya awali

Now, what the hell would they want move away from others.... maana i know enough that; wengi wape... sasa wao niya yao nini hasa??
Sidhani kama kuna mtu ambaye atabadilisha sat Alignment yake, aache kuona channel nyingine zoote kwasababu ya one channel... labda kama kwako epa then u can just buy a dedicated dvb for channel 10

Kifupi wamej***ra
 
Moja : Kama hujui ni moja kati ya tv channels ambazo zipo bongo na ni ya muhimu kwa jamii ikileta habari moto moto kwa jamii

Pili :Watu woote wenye madish kwaajili ya kuona local na international channels kwenye tv zao hawataweza kuiona labda kwa Antenna ya miba ya samaki - Sijui wazikumbuka

KILO,
Umezidi kunichanganya.
Kama ni TV muhimu kwa jamii, inakosaje garama za kubakia kwenye sattelite?
 
KILLO na NDELE,
Nani mkweli kati yenu?

Killo alisema wamekimbia kwenye sattelite,
Ndele amesema wako kwenye satelite nyingine.

Kipi ni kipi wakuu?

Bwana EXAUD J. MAKYAO,

Habari niliyonayo ni kwamba wameingia mitini kuwepo kwenye SAT
Hii link hapo chini ni ya page ya lying sat, wanaonekana kama wako na channel nyengine zoote lakini there are no where to be seen on that particular sat
LYNGSAT LOGO -  Tanzania

So go figure boy.....!
 
ukiangalia vizuri utaona kwenye web hiyo utaona channel 10 inapatikana kwenye sat mbili tofauti yaani ile ya awali ambayo na local tv zinakamata hii mpya ambayo inakamata na chanel za nje tu.sasa ukilitwist dishi utaipata hiyo cannel ten. nasema hivyo kwa sababu nimewai kujaribu na nikaipata na channel za nje.
 
pia kama unadish kwako unaweza jaribu au kumtafuta fundi na akaitafuta cannel ten kwenye Telsat 10 at 76,5"E na kuingiza frequency TP 4006 V SR-FEC 1011-3/4 Na utaipata chanel ten na magic FM,pia kwa wale wenye madish yanayozunguka kusearch TV yaan yana JACK unaweza kuipata kirahisi kwani endapo umemaliza kuangalia channel tenunaweza kusearch nadish likajitwist lenyewe na kuzipata chanel za kibongo tena bila ya kuligeuza Dish manual.
 
Good explanation and good points. Its a well researched answer.
 
pia kama unadish kwako unaweza jaribu au kumtafuta fundi na akaitafuta cannel ten kwenye Telsat 10 at 76,5"E na kuingiza frequency TP 4006 V SR-FEC 1011-3/4 Na utaipata chanel ten na magic FM,pia kwa wale wenye madish yanayozunguka kusearch TV yaan yana JACK unaweza kuipata kirahisi kwani endapo umemaliza kuangalia channel tenunaweza kusearch nadish likajitwist lenyewe na kuzipata chanel za kibongo tena bila ya kuligeuza Dish manual.

nashukuru ndele maana at least wewe ulilielewa swali langu.

habari zingine nilizopata toka kwa mwakilishi wao ni kwamba wamehama toka analog to digital signals na kwamba ili uwapate inabidi ununue receiver mpya maana wanatupa matangazo wakitumia MPEG-4 (kwa wanaojua). na habari hizo zikaendelea kusema kwamba bei ya hizo receivers ni laki mbili na nusu ila once umeinunua utapata pia channels zingine za kibongo.

Nimeandika hivi kama nilivyopata habari hizo ili kama kuna wadau wengine wamezisikia habari hizi waziunge mkono au kuzikanusha.

Anyway nitajaribu ushauri wako.

kwa wasiojua maana; channel ten ndio local channel pekee inayoonyesha champions league ! kwa hiyo twaweza kosa uhondo.
 
pia kama unadish kwako unaweza jaribu au kumtafuta fundi na akaitafuta cannel ten kwenye Telsat 10 at 76,5"E na kuingiza frequency TP 4006 V SR-FEC 1011-3/4 Na utaipata chanel ten na magic FM,pia kwa wale wenye madish yanayozunguka kusearch TV yaan yana JACK unaweza kuipata kirahisi kwani endapo umemaliza kuangalia channel tenunaweza kusearch nadish likajitwist lenyewe na kuzipata chanel za kibongo tena bila ya kuligeuza Dish manual.

Ahaaaa....! Let me try it and i should get back to you accordingly with the outcome...

Thanks
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom