Super Bowl XLIII - Karibuni Tampa Bay | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Super Bowl XLIII - Karibuni Tampa Bay

Discussion in 'Sports' started by Quemu, Jan 20, 2009.

 1. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kama mnavyojua SuperBowl XLIII inafanyika my hometown Tampa Bay. Game linachezwa Feb 1.

  Wakati watu wa Midwest na North mnakaukiana kwa libaridi la kufa mtu, huku tutakuwa kwenye 80's. Mwanakijiji, AbTichaz na Geeque (Midwest Crew) mpo? Mzee wa New England "Yournameismine" vipi nawe masikio yatakuwa yanaganda kwa baridi? Nyani Ngabu na Icadon najua hapo ATL kutakuwa na baridi pia. Kwa hiyo msione noma kujisogeza huku ma-bay area. Ni masaa sita kupush mchuma.

  Kwa kudodosa tu, Ijumaa Jan 30 tutakuwa Channelside tunalenga vitunguli kwa kutumia vitufe vyenye vitundu vitatu (bowling). Jumamosi Jan 31, tutaanza kwa kuchoma mbuzi mzima, halafu jioni tutakuwa Clearwater Beach tuna jet skiing kwenye 80 degrees Gulf of Mexico.

  Kwa mara nyingine tena another Black Coach (Steelers Coach) is going to win SuperBowl. First was Tony Dungy (SuperBowl XLI).

  Karibuni nyote....
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jan 21, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nilidhani baada ya Obama kuwa raisi haya mambo ya fulani mweusi fulani mweupe yamekiwsha kumbe wapi! Sasa hapa wewe bwana QM unaangalia nini, rangi ya ngozi ya kocha wa Steelers au uwezo wake? Kulikuwa na ulazima gani kuweka rangi yake ya ngozi?
   
 3. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  History in the making...

  Otherwise, karibu uchezee maji ya bahari. Najua ATL ni landlocked city...hata kijibwawa hakuna. lol
   
 4. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2009
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  QM,
  Aisee ngoja nicheki mambo hapa naweza kuja Tampa kwenye hiyo weekend maana baridi ya hapa Chi haina hata huruma ha ha ha.
   
 5. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Yeah njoo bana.. Hiyo weekend huu mji utakuwa haukaliki. Fun kila kona.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jan 21, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa....umewahi kusikia Lake Lanier wewe?
   
 7. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Lake What? Au ndio kale ka-bwawa kanako splash maji pale karibu na CNN Headquarters? Kale ambako watoto (na wakubwa) wanapenda kwenda kujigalagaza. LOL
   
 8. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2009
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  hahahahaha lol !! QM u got jokes hahaha !! Yaani unadai kwa kina Mazee Ngabu ni land locked na wanaishia ku-chill ofisi za CNN kupata raha ya maji?
   
 9. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ni kweli GQ! Wakitoka 'kuogelea' kwenye kale kabwawa, wanapiga kwata kumi tu, wako Coca Cola Headquarters.. Basi pale wanafyonza soda za bure weee mpaka wanavimbiwa. Madai yao eti wanaenda ku-test brand za Coca Cola Dunia mzima....kumbe wanaenda kukata kiu. Ha ha ha
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Jan 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Aidha hujui au unajua lakini umeamua kuua tu. Lakini najua hujui! Haya jifunze kidogo basi kwa kubonyeza hapo: Georgia Lakeside Resort: Lake Lanier Islands Resort in Georgia
   
  Last edited: Jan 22, 2009
 11. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ha ha haaa kumbe unazungumzia haka ziwa kalikojaa mapelege (kama uliwahi kufuga samaki, basi utakuwa unajua samaki hawa).

  Lakini mbona address (top right corner) inasema haka ziwa kako mji unaitwa Lake Lanier Islands? Ebu ngoja ni-mapquest kwanza. Usijekuta unajigambia ziwa ambalo liko maili 100 kutoka Atlanta...lol
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jan 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Naona unakula kinyesi chako mwenyewe siku hizi! Na hamna haja ya kujigamba. Sasa wewe kama unajigambia(?) bahari ya Pacific sijui Atlantic basi bana...wewe uko league ingine na hakuwezi mtu....Ahahahahahahahaaa....kwani mtu akisema anaishi metro au suburban outskirts of Atlanta wewe unaelewa nini?
   
 13. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Duh...haya bana!!!

  Ninaelewa kwamba huyo mtu anaishi metro au suburban outskirts of Atlanta:)

  Lakini is utani.....unakaribishwa kujirusha na 'floridalicious.' SuperBowl weekend kutakuwa na special access kwa out-of-towners. Baada ya hapo access inakuwa reduced to 'locals' only...
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Jan 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  busha la babu yako....lol
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jan 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Yaaaaaaaaaay is so gaaaaaaaaaaaaaay!
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Jan 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  hahahahahaaaa....dogo mimi huwaga hata sikuelewi unayoongea!!
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,608
  Likes Received: 82,182
  Trophy Points: 280
  I hope haitakuwa boring na kila dalili zinaonyesha Steelers wataibuka kidedea. Nama\fagilia kocha mweusi ambaye ni mwaka wake wa pili na Steelers. Makocha weusi wanadharauliwa sana kwenye Basketball, American Football na pia Baseball. Go Steelers!Steelers wakishinda utakuwa ni ushahidi mwingine wa kutosha kwamba makocha weusi wakipewa nafasi wanaweza kufanya maajabu.
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Jan 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nyambaaaf na pambaaaf kabisa wewe mbaguzi. Wewe kila kitu mweusi na mweupe. Dizaini unajiona uko duni sana wewe na kila wakati uko katika "prove something" mode! Sasa na wazungu na wenyewe wakisema wanamfagilia kocha wa Cardinals kwa sababu ni mzungu si utakaa ulie ulie ubaguzi kama kasichana ka shule ya vidudu....mijitu kama wewe mnanikera sana mimi....
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Jan 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hebu prove kuwa mimi nashinda JF....na ukishindwa jitafutie adhabu mwenyewe....
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,608
  Likes Received: 82,182
  Trophy Points: 280
  Steelers 10 Cinderella 0
   
Loading...