Kwanza kabisa natoa pongezi zangu za dhati kwa muheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Tanzania kwa kufanya maamuzi yha busara ya kumuongezea Maximo mkataba mpya wa mwaka mmoja.I think he is well deserve...
Iraqi footballer shot dead by fan
An Iraqi football player has been shot dead by a spectator as he was about to score an equalising goal.
The shooting happened in the last minute of a...
Uwanja unaochezewa mechi kati ya Yanga na Alhaly ni mbovu. Matokeo si mazuri kwa Yanga mpaka sasa. Yanga wameshazoea kucheza mechi zao kwenye uwanja wenye hali ya juu; uwanja wa kimataifa wa Dar...
This folding flat screen TV under the bed is amazing but I bet you were expecting something else from that title.
Ok seriously, I want one of these things but I know I couldn't afford it...
- Naomba kutoa heshima zangu za dhati sana na za kutoka moyoni kwangu kwa wachezaji wote na viongozi wa timu yetu ya Manyema FC, kutoka Kariakoo kwa kuweza kushinda hivi karibuni na kurudi tena...
Yapata miezi miwili tangu kampuni ya GTV kufunga matangazo yao ya television, wateja wao wa hapa Tanzania mpaka sasa hawajui hatima yao je TCRA na mamlaka zingine za serikali naona zimekaa kimya...
Police offer apology to Anichebe
BBC Sports Online
Victor Anichebe said in a statement he was embarrassed and humiliated
Cheshire Police have apologised to Premier League striker...
Sir Alex Ferguson says his poor record against Jose Mourinho is ample evidence Manchester United are not certain to reach the Champions League last eight.
Ferguson's United face Mourinho's Inter...
Mabingwa wa soka nchini leo wamewanyuka mabingwa wa America ya kaskazini Vancouver white caps kwa mabao 3-0, kwenye uwanja wa Taifa. Mabao ya wababe hao wa jangwani yaliwekwa kimiani na Jerry...
VIUNGO wazoefu wa ushambuliaji wa timu ya soka ya taifa 'Taifa Stars', Athuman Idd 'Chuji' na Haruna Moshi �Boban� wamejitoa katika kikosi hicho kinachofundishwa na kocha Mbrazili...
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana uteuzi wa mchezaji bora Duniani katika mabara mbalimbali ila mpka sasa nashindwa kuelewa ni vigezo gani wanavitumia wenzetu wa mabara mengine kwani uteuzi wao...
Arsenal/Hull vs Chelsea
Man U vs Everton
Mwaka huu kama isingekuwa Villa na Liverpool kutolewa na everton, tungekuwa tunaongelea top 4 wote kuwa kwenye robo fainali, its getting serious now. Man...
DRC wenzetu ktk vita mda mrefu leo wamewatangwa Ghana 2-0!
Nawapongeza sana jirani zetu wa Kabila!
Mapedeshee wote wa Mujini karibuni tusherehekee!!!
BBC SPORT | Football | African | DR...
Damn these guys rock, after new zealand now Fiji. They now automatically qualify for the Rugby world cup in 2013, go kenya go kenya go kenya
Kenya stun Fiji in day of World Sevens upsets...
wakuu naombeni kujua ukweli kuhusu brand name ya jezi za timu ya taifa ( taifa stars) ina michirizi ya adidas lakini nasikia sio adidas ila ni adidas feki. wakuu wa adidas walikuja kwaajili ya...
Kutokana na matokeo ya jana ya mechi kati ya Taifa stars na Zambia. naomba kuuliza yafuato;
1. Je bao la kusawazisha la Zambia ambalo walilipata katika dakika za nyongeza lilisababishwa na...
Date::2/26/2009
Taifa Stars waliwatoroka polisi Abidjan kimya kimya
Na Saleh Ally, Abidjan
Mwananchi
UAMUZI wa kikosi cha Taifa Stars kuamua kutokula chakula kwenye hoteli ya Golf ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.