CHAN Finals: Live from Ivory Coast | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHAN Finals: Live from Ivory Coast

Discussion in 'Sports' started by AljuniorTz, Feb 22, 2009.

 1. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mungu ibariki taifa stars leo na ktk mechi zote ili turudi na kombe letu inshaallah
   
 2. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Naomba kuuliza
  Ni TV gani zinazopatikana masafa ya mbali hasa ulaya zitakazoonyesha hizi maechi
   
 3. A

  Amwanga JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2009
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwa sasa hatuzungumzi tena maandalizi kwani tayari tupo uwanja wa mapambano, let we discuss what should be done now while we are in the front line fighting pitch? Kwani kale kamsemo ng'ombe hanenepi siku ya mnada, kama tulijianda vema, yes we can wadau. Otherwise tutaonyesha vituko huko,
  Mungu ibariki Taifa stars
   
 4. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  .....A, soka ni mchezo wa makosa...siku zote matokeo huwa yanashangaza sana hasa pale zile timu zenye majina zinapochza na hao underdogs kama Tz. Jambo kubwa inatakiwa wachezaji wetu wajitambue kuwa wamekwenda ivory coast kufanya nini? Pili watambue opportunity zinazoweza kujitokeza kwa wao kufanya vizuri. Sasa hivi hata mawakala wanaotafuta wachezaji wa kulipwa wamekuwa na mtazamo wa kwenda mbali zaidi mpaka kwenye nchi zisizo na majina kwani wanaamini kuna talents.

  Hofu yangu wachezaji wetu wana tabia ya ulimbukeni na hasa pale wanapojiona wanaelekea kuidhibiti timu yenye jina. Hapa nazungumzia kale katabia ka akina Mrisho Ngasa, Jerry Tegete na akina Mgosi kucheza na majukwaa. Laiti Taifa stars wote wangekuwa na spirit aliyonayo Shedrack Nsajigwa mambo yatakuwa mazuri...But let's wait & see ndio nafasi ya kujifunza hiyo....
   
 5. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Halafu ikishinda/ikifanya vizuri, utawasikia wanazi wa Jangwani wakiita wanavyotaka!
   
 6. A

  Amwanga JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2009
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Tunapokua Cod vor, tusahau mambo ya Jangwani na Msimbazi, tukisharudi tz then tuendelezde unazi wetu, sasa si muda muafaka wa kujadili timu inachesha msimbazi wangapi au Jangwani wangapi, if possible to gain the match through Msimbazi 100% no problem , after mashindano ndo tuanze piga domo zetu, mpo wadau?
   
 7. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Wadau ni channel gani tutaona hiyo mechi ya ufunguzi na mechi yetu na wamandingo?
  kuna online channel yeyote?
   
 8. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  TBC 1 wanaonyesha match ya Ufunguzi -----Ivory coast vz Zambia....kama upo TZ!
   
 9. Baisha

  Baisha Member

  #9
  Feb 22, 2009
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  sasa hivi ni sherehe za ufunguzi,kuna tv moja ya inatwa RTS1 ndo inaonesha live.ila inabidi net yako iwe fast kama kiaina kama ya kwangu hapo!kama unatatizo jinsi ya kuipata uliza faster
   
 10. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #10
  Feb 22, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  naomba link ndugu
   
 11. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna link hii nimeifuma mtandaoni si muda mrefu na chandimu kinaendelea lakini sio sisi sasa, kama mwenye nayo ya wana wa nyumbani aka Taifa Stars Pliiizz tuwekee.

  wwiTV.com - The ultimate guide to Live TV webcasts.
   
 12. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Eenhee tunaipatate RTS 1,
  Natumia iBurst

   
 13. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #13
  Feb 22, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  We had to start a new topic for this.

  All the best Taifa Stars
   
 14. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Sawa sawa naona mtanange unaendelea wa kwetu ni baada ya huu.
  All the best T.S
   
 15. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ingawa kifrenchi hakipandi, lakini nimemsikia mtangazaji akitutajataja kwa jamu...naimani chaneli ndo yenyewe hii.....Na tusubiri..
   
 16. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Ni aftaim na goli ni Zambia 1 na mwenyeji 0...
   
 17. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #17
  Feb 22, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kitabu cha visingizio wamesahau home
   
 18. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2009
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  wanapiga la pili ZAMBIA-2 WENYEJI-0
   
 19. Kilakshari

  Kilakshari JF-Expert Member

  #19
  Feb 22, 2009
  Joined: Dec 13, 2008
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kuna online TV station inayoonyesha mashindano ya CHAN?
   
 20. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2009
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  mkuu Kilakshari gonga hiyo link iliyotolewa na mkuu Mwazange then chagua channel za senegal utaipata RTS 1 bila shaka
   
Loading...