Uwanja mbovu umepunguza kasi ya Yanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwanja mbovu umepunguza kasi ya Yanga

Discussion in 'Sports' started by Haki, Mar 15, 2009.

 1. H

  Haki JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uwanja unaochezewa mechi kati ya Yanga na Alhaly ni mbovu. Matokeo si mazuri kwa Yanga mpaka sasa. Yanga wameshazoea kucheza mechi zao kwenye uwanja wenye hali ya juu; uwanja wa kimataifa wa Dar. God bless Yanga and Taifa stars.
   
 2. U

  Umushoshoro Senior Member

  #2
  Mar 15, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 121
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Umeshaanza visingizio na kuingiza Stars ili mpate huruma.
   
Loading...