Taifa Stars ;- Nia na Uzalendo wa wachezaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taifa Stars ;- Nia na Uzalendo wa wachezaji

Discussion in 'Sports' started by The Farmer, Mar 1, 2009.

 1. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Kutokana na matokeo ya jana ya mechi kati ya Taifa stars na Zambia. naomba kuuliza yafuato;
  1. Je bao la kusawazisha la Zambia ambalo walilipata katika dakika za nyongeza lilisababishwa na uzembe wa wachezaji wetu?

  2. Je wachezaji wetu wa Tanzania ni wazalendo na wanajua kuwa huwa wana liwakilisha Taifa letu kwenye michuano ya kimataifa?
   
Loading...