Mbona hakuna reggae muzik JF? Naona kuna Nyimbo za injili, Zilipendwa, Taarab na Bongoflava.....
I hope na sisi watu wa reggae tutapewa nafasi tufurahie muziki.
Ahsante
haya wale magwiji wa michezo ambao mlikuwa mkifatilia kwa muda mrefu mvutano uliopo kati ya ZFA na TFF hii inatokana na kuwa ZFA ni wapenda migogoro au kuna namna.
jee huyu mwakalebela hutumia...
Wana JF na wapenzi wa soka Tanzania na kwingineko duniani kesho ile mechi ya Yanga na El Ahly au National Athletic Club ya Egypt ndio itakuwa inapigwa mida ya saa 1 jioni kwa saa za Afrika...
Benitez signs long-term Reds deal
BBC Sports Online
Benitez won the Champions League with the Reds in 2005
Liverpool boss Rafael Benitez has ended speculation over his future at Anfield...
wachezaji wa taifa stars wavunja ukimya kupitia globu ya jamii
KILICHOTOKEA IVORY COAST KATI YETU (HARUNA, ATHUMAN, KEVIN, BONI, AMIR, NURDIN) NA KOCHA MARCIO MAXIMO
UTANGULIZI
Kwanza kabisa...
Kwanza kabisa natoa pongezi zangu za dhati kwa muheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Tanzania kwa kufanya maamuzi yha busara ya kumuongezea Maximo mkataba mpya wa mwaka mmoja.I think he is well deserve...
Iraqi footballer shot dead by fan
An Iraqi football player has been shot dead by a spectator as he was about to score an equalising goal.
The shooting happened in the last minute of a...
Uwanja unaochezewa mechi kati ya Yanga na Alhaly ni mbovu. Matokeo si mazuri kwa Yanga mpaka sasa. Yanga wameshazoea kucheza mechi zao kwenye uwanja wenye hali ya juu; uwanja wa kimataifa wa Dar...
This folding flat screen TV under the bed is amazing but I bet you were expecting something else from that title.
Ok seriously, I want one of these things but I know I couldn't afford it...
- Naomba kutoa heshima zangu za dhati sana na za kutoka moyoni kwangu kwa wachezaji wote na viongozi wa timu yetu ya Manyema FC, kutoka Kariakoo kwa kuweza kushinda hivi karibuni na kurudi tena...
Yapata miezi miwili tangu kampuni ya GTV kufunga matangazo yao ya television, wateja wao wa hapa Tanzania mpaka sasa hawajui hatima yao je TCRA na mamlaka zingine za serikali naona zimekaa kimya...
Police offer apology to Anichebe
BBC Sports Online
Victor Anichebe said in a statement he was embarrassed and humiliated
Cheshire Police have apologised to Premier League striker...
Sir Alex Ferguson says his poor record against Jose Mourinho is ample evidence Manchester United are not certain to reach the Champions League last eight.
Ferguson's United face Mourinho's Inter...
Mabingwa wa soka nchini leo wamewanyuka mabingwa wa America ya kaskazini Vancouver white caps kwa mabao 3-0, kwenye uwanja wa Taifa. Mabao ya wababe hao wa jangwani yaliwekwa kimiani na Jerry...
VIUNGO wazoefu wa ushambuliaji wa timu ya soka ya taifa 'Taifa Stars', Athuman Idd 'Chuji' na Haruna Moshi �Boban� wamejitoa katika kikosi hicho kinachofundishwa na kocha Mbrazili...
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana uteuzi wa mchezaji bora Duniani katika mabara mbalimbali ila mpka sasa nashindwa kuelewa ni vigezo gani wanavitumia wenzetu wa mabara mengine kwani uteuzi wao...
Arsenal/Hull vs Chelsea
Man U vs Everton
Mwaka huu kama isingekuwa Villa na Liverpool kutolewa na everton, tungekuwa tunaongelea top 4 wote kuwa kwenye robo fainali, its getting serious now. Man...
DRC wenzetu ktk vita mda mrefu leo wamewatangwa Ghana 2-0!
Nawapongeza sana jirani zetu wa Kabila!
Mapedeshee wote wa Mujini karibuni tusherehekee!!!
BBC SPORT | Football | African | DR...
Damn these guys rock, after new zealand now Fiji. They now automatically qualify for the Rugby world cup in 2013, go kenya go kenya go kenya
Kenya stun Fiji in day of World Sevens upsets...