Soka la Bongo ugonjwa wa Moyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soka la Bongo ugonjwa wa Moyo

Discussion in 'Sports' started by Crashwise, Jul 23, 2009.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kama wewe ni mpenzi wa soka la Bongo hasa hizi timu za Simba na Yanga.. unaweza kupatwa na ugonjwa wa moyo hasa simba kwa miaka ya hivi karibu yaani wakikaa mwezi, mbila kungombana ni bahati na wakati mwingine unashindwa kujua mbaya ni nani? maana kiongozi huyu ataongea hiki na yule ataongea hizi mwisho wasiku wanakutana wanatuambia simba ni moja wizi mtupu.. kuna swala la katibu wa kuajiliwa na pesa za Henry J. Shindika limezuka tena baadhi wakidai kauzwa kwa mkopo kinyume na makubaliano ya Viongozi nakunatete zimelipwa cash, yaani inafikia Makamu Mwenyekiti hajui kinachoendelea hili si balaaaa, juzi walitutangazia Account ya usajili hatuambiwi zimefika kiasi gani?, pesa za kadi hatujapewa taarifa ingawa kunawengine tumelipia kadi tangu mwaka 2007 mpaka leo hatujapata kadi sijui tuko wangapi? leo mnatuwekea bakuli tuchangie wakati nimelipia kadi miaka 2 sijapata huu si ufisadi...
  Mimi naomba kuuliza wana-JF kuwa tatizo la simba ni viongozi au Friends of Simba akichangiwa na umbumbumbu wa baadhi ya Viongozi maana kuna kiongozi(Kaduguda) alishawahi kuwaita friends of simba kuwa ni Enemy of Simba na Michael Wambura aliwaita Friends of Simba kuwa ni Genge kama magenge ya harusi..

  Wana JF nawakilisha
   
Loading...