Man United chupuchupu!!!

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
Anyway, hii habari kidogo imepoa lakini nimeona bora niilete hapa. Hoteli ya Ritz Carton iliyolipuliwa leo asubuhi kule Jarkata Indonesia ndipo ambapo Man U walikuwa wafikie na kulikita kwa siku nne, ilikuwa wafike jumapili, sasa sijui aliyejitoa muhanga alijua wameshafika au Man U hawakuwa target yake. As a result, Man U wame cancel trip hiyo ya Indonesia, kwa sasa wapo Kuala Lumpar.
 
They were targeted na scotland yard watakuwa responsible kwani they new they are going to be their. Hata hivyo hao magaidi wanaitafuta sana UK kulingana na taarifa za kikachero za Scotlandas na Australian Federal Police.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom