Kama oden mbaga atabaki kuwa mwamuzi wa simba;yanga tarajieni vituko uwanjan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama oden mbaga atabaki kuwa mwamuzi wa simba;yanga tarajieni vituko uwanjan

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Oct 26, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,694
  Trophy Points: 280
  Pengine naweza kuwa sheikh ya hya kwa mechii hii ya jumamosi pale taifa
  sipendi kusema mengi ila nasema na ntarudia kama oden atabaki kuwa mwamuzi
  wa simba na yanga ;wachezaji na mashabiki tarajieni vituko uwanjani...na mpunguze munkari
  namjua n ndigu yangu kaka yangu na rafiki yangu mzuri tu...ila swala la simba na yanga
  yeye anajua yuko upande gani......
  Nawatakia mechi njema
   
 2. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kamillsha utabiri mkuu, yeye ni wa upande upi, na tutarajie nini?
   
Loading...