Kuelekea mechi ya jmosi Yanga wamtimua Timbe.

Masuke

JF-Expert Member
Feb 28, 2008
4,610
1,264
Yanga wamekatisha mkataba wa kocha wao Sam Timbe na kumrejesha aliyewahi kuifundisha timu hiyo ya Jangwani Kostadic Papic. source: radio one.

My take: Watani wetu isije kuwa mnatafuta visingizio ooh wachezaji walikuwa hawajazoea mfumo wa kocha mpya.
 
very poor tactical and technical move by Yanga...kwa wana yanga, things are not looking gloomy on you this weekend
 
Naona hawa Yanga wanataka wakifungwa wasitafute mchawi, kwani watasingizia kuwa wana mwalimu mpya...du na hiyo ni strategy nzuri kabisa
 
Back
Top Bottom