Why always me!-super mario

Why always me!-super mario

jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Posts
11,481
Reaction score
11,481
Huyu bwana ni bad boy in nature au matatizo huwa yanamfuata tu kwa bahati mbaya?! Alituhumiwa kuwatupia vitu wachezaji wadogo wa Man City, Giggs kamtuhumu kama pro football palyer anayeongoza kwa kupewa parking tickets huko Manchester na hivi karibuni inasemakana rafiki yake aliwasha fireworks bafuni na kusababisha moto kwenye nyumba yao!

Pamoja na yote, sie tunamshukuru kwa kusaidia kugawa kipigo kitakatifu kwa "Manure"!

Wadau mnasemaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom