Ezekiel Kamwaga aka Mr Liverpool.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ezekiel Kamwaga aka Mr Liverpool..

Discussion in 'Sports' started by only83, Oct 16, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hivi huyu jamaa mbona simuelewi kabisa kwanini anajihita Mr Liverpool na alipewa na nani kwa vigezo gani? Halafu mie naona kama ni kujidhalilisha kujiita majina yasiyo na maana isipokuwa utumwa na njaa tu......kwanini asijiite Mr Simba ili kuonyesha mapenzi yake kwa klabu yake ambayo yeye anaitumikia kama msemaji?
   
 2. p

  philos Senior Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Do you know simple Epistemology? Make recourse to these terminologies essence, accidents and existence
   
 3. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  hebu ongea kiswahli bwana hayo maandishi ya kwenye biology yann hap!!
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,024
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa anatumia vibaya media hasa gazeti la Mwanaspoti kuexpress personal interests zake.Na kibaya zaidi wenye nalo wanampa uwanja.
   
 5. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa nilimuona bogus kuna siku alikuwa anamponda Raul Meireles na kumsifia Henderson
   
 6. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kamwaga ni mzuri sana ktk uandishi wa makala. Nilipenda sana makala zake kabla ya kumaliza mkataba na MwanaHALISI. Namshauri aendeleze kipaji chake ktk uandishi.
   
Loading...