Wale wafuatiliaji wa matangazo ya mchezo wa mpira wa miguu(soccer) katika Tv tumezoea kuonyeshwa hii kitu. Labda utakuta 53%-47%. Nimekuwa najiuliza hii inakokotolewa vipi katika mchezo? Ni idadi...
Huyu jamaa toka ametangazwa kuiongoza kilimanjaro starz naona anakosa kujiamini kabisa
kila kukicha anakimbilia vyombo vya habari mara kunakushindwa mara, tukishindwa msilaumu tumelilia timu...
Wadau nataka niwe member wa jf je nitaratibu gani zanatakiwa kufuatwa?Je nikitaka kujiunga na golf ili nijifunze golf nini nifanye ili niweze kufanya hivyo?
Karibuni tuangalie live game kati ya MAN CITY VS NEWCASTLE UTD mida hii. Game limeanza muda huu
LINK Manchester City vs Newcastle United Live Stream Online
:poaRooney's stunning overhead kick for Manchester United against Manchester City in February is one of the 10 nominees.Barcelona's Lionel Messi is also in the running for his goal against Arsenal.
Katika hali ya kustaajabisha na ambayo mwenyekiti wa tff tenga anaendeelea
kuiendekeza kwa kugaiwa kamgao cha kipumbavu ile mechi ya simba na yanga ya ngao
ambayo walisema asilimia 10 inakwenda...
Wakuu wapenda ngumi hili pambano la kukata shoka linaanza si mda mrefu.
Wale wanaotaka kuona kwa bure nendeni: http://www.magictv.co/
Powa tuungane pamoja tuzungumzie pambano.
Timu ya Netball ya Ofisi ya Waziri Mkuu imetolewa kwenye mashindano ya SHIMIWI na kufutiwa ushindi wa mechi zao zote 4 kwa kuchezesha wachezaji ambao si watumishi wa Ofisi hiyo, wamechezesha...
Haya mechi iliyokuwa ikifanyika uwanja wa taifa kati ya Taifa Stars dhidi ya Chad imekwisha, timu ya Chad imeibuka kifua mbele kwa goli 1 na Taifa Stars 0,pamoja na kufungwa Taifa Stars inaendelea...
TAIFA Stars ilithubutu kuifunga Chad kwao, leo iifunge timu hiyo Uwanja wa Taifa Dar es Salaam ili isonge mbele.
Hivyo ndivyo unavyoweza kuzungumza mtihani muhimu kwa timu ya soka ya Taifa...
leo nilitegemea tbc1 wangeonyesha mechi kati ya gabon na tz,lakini wameweka kipindi tofauti.Basi ngoja nicheki mechi kati ya kenya na shelisheli live.SAWASAWA!
Polisi wa Uingereza wanachunguza barua ya vitisho iliyotumwa kwa mchezaji wa QPR Anton Ferdinand.
Maafisa wa Polisi wa Metropolitan wamekataa kueleza kilichoandikwa katika...
Naibu waziri wa habari na michezo leo kanitolea mpya pale aliposema "Vyama vinavyoshiriki premier ligue vianzishe viwanja vyao vya mpira" akitolea mfano timu za Mtibwa, Azam na Yanga. Halafu pale...
I saw this Article on-line
I was all prepared to preview the Champions League this morning or perhaps review some of the Premier Leagues brilliant performers from the past weekend (Sturridge...
Jamani nilikuwa nimejilaza kwenye kuchi baada ya uchovu wa kutwa nzima.
Usingizi ulikuwa mtamu sana na wenye ndoto za kitoto.
Katikati ya usingizi mnono nashtushwa na makelele ya mashabiki wa...
najiuliza sana na sasa niwaulize wadau wa soka, hivi stars imeimprove ama Chad ni vibonde? Poulsen atatatetea kibarua kesho maana nahisi kama ugenini ilikuwa kakobe!