Uzalendo uko wapi TBC1? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzalendo uko wapi TBC1?

Discussion in 'Sports' started by Kubingwa, Nov 15, 2011.

 1. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  leo nilitegemea tbc1 wangeonyesha mechi kati ya gabon na tz,lakini wameweka kipindi tofauti.Basi ngoja nicheki mechi kati ya kenya na shelisheli live.SAWASAWA!
   
 2. n

  ngwini JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wewe ndo cyo mzalendo,maana ungekuwa mzalendo ungekwenda Taifa.
   
 3. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wenze2 wakenya wanaƶnesha ya kwao na sycheles. Why tanzania? Mi naona Tanganyika irudi ndo wa2 watakua wazalendo.
   
Loading...