Mamluki Wasababisha Timu ya Waziri Mkuu Kutolewa SHIMIWI

Apta Kayla

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
324
71
Timu ya Netball ya Ofisi ya Waziri Mkuu imetolewa kwenye mashindano ya SHIMIWI na kufutiwa ushindi wa mechi zao zote 4 kwa kuchezesha wachezaji ambao si watumishi wa Ofisi hiyo, wamechezesha wachezaji wa Timu za mitaani.
 
Kama mdau sihitaji kukanusha ila kueleza hali halisi. Katika mashindano haya kila timu ilitakiwa kuleta vitu vitatu, Kitambulisho cha Kazi, Bima ya Afya na Salary Slip. Taarifa hizi zilijulikana baada ya timu kufika Tanga. Timu hii ya WM ilipokatiwa rufaa, baadhi ya vithibitisho vilikosekana kwa timu zote mbili (Netball na Soka) hususan Salary Slip. Na kwasababu hiyo kwa mujibu wa kanuni ikalazimu zifutiwe matokeo licha ya kushinda mechi zake zote. Lakini kama wachezaji wote wangekaguliwa, kuna uwezekano mkubwa labda wasiozidi 20 ndiyo wangekuwa wana vithibitisho vyote vitatu.
 
Back
Top Bottom