Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Wakuu wapenda ngumi hili pambano la kukata shoka linaanza si mda mrefu.
Wale wanaotaka kuona kwa bure nendeni: http://www.magictv.co/
Powa tuungane pamoja tuzungumzie pambano.
thanks a nillion aw
Manny pacquiao lazima ashinde hili pambano.
dah... Link imegoma halafu niko njiapanda
nadhani kuna geographic limitation
nadhani kuna geographic limitation
nawaonea wivu aisee
Trust me he'll chock up!Mkuu MTM unakosa bonge la pambano.
Mie mshabiki wa Manny lakini napenda challenge anayotoa huyu Marquez, inachangamsha pambano sana.