Simba mlichemsha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba mlichemsha

Discussion in 'Sports' started by Mwana UoA, Nov 15, 2011.

 1. M

  Mwana UoA Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chagueni rais mwingine kwanza jamaa ni haini aliua soka letu kipindi cha FAT
   
 2. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  kuna signature moja hapa jf inasema "mitanzania ndivyo tulivyo"!
  Fikiria huyu bwana kafungwa jera Ukonga na kila mtu kaona.
  Mbali na masualu mengine, bado huyu jamaa kachaguliwa na Simba, kama hiyo haitoshi na Tabora wakampa ubunge!
  ...cha kukupa moyo hapa ni kuwa huyu jamaa anachaguliwa na wale 80% waliokataaga vyama mvingi kabla Mwalimu haja-intervine na kusema kuwa hawa 20% wanaotaka vyama vingi ndio wana akili!
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Kweli,chagua msanii akutawale kisanii.
   
Loading...