Nitaratibu gani zinatakiwa zifiatwe ili uwe member wa gymkhana club?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitaratibu gani zinatakiwa zifiatwe ili uwe member wa gymkhana club??

Discussion in 'Sports' started by KakaKiiza, Nov 19, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Wadau nataka niwe member wa jf je nitaratibu gani zanatakiwa kufuatwa?Je nikitaka kujiunga na golf ili nijifunze golf nini nifanye ili niweze kufanya hivyo?
   
 2. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tafuta memba wawili wa gymkhana wakudhamini kwenye fomu yako, halafu ukishaipeleka jina lako linawekwa kwa notice board. kama kuna memba ana kikwazo atakipeleka kwa wahusika, kama hamna unaitwa kwenye interview, ni fomaliti tu hakuna anayefeli. Kisha ukipita unalipia entrance fees, ziko juu kidogo, about 750k. Ila baada ya hapo ada kwa mwaka ni 178k kwa single memba, kwa family memba sijui.

  Kwenye golf lazima upate pro golfer akufundishe, wanachaji 15k per session. Unahitaji kama 10 sessions hivi unakua tayari kucheza. Halafu kuna kulipia green fees kila mwezi elfu 10 na caddy (kijana wa kubeba golf bag yako uwanjani) elfu 5 kila siku unayocheza.
  Kama una lingine uliza
   
 3. n

  ngwini JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yakupasa kuwa na wadhamini wahindi..aha aha
   
Loading...