Tff wawatapeli mewata million 20 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tff wawatapeli mewata million 20

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Nov 18, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Katika hali ya kustaajabisha na ambayo mwenyekiti wa tff tenga anaendeelea
  kuiendekeza kwa kugaiwa kamgao cha kipumbavu ile mechi ya simba na yanga ya ngao
  ambayo walisema asilimia 10 inakwenda kwa mfuko wa mewata

  mewata wameibuka jana na cheki ya million kumi na kusema wanaomba msaada kwa watanzania
  walioamua kuingia kwa nia njema kuchangia mfuko wao na sasa kundi la matapeli wachache
  wakiongozwa na tenga wameamiua kukaa na hela zao

  haabri zaidi zinasema mewata wamemfwatan mh tenga na bila aibu akasema jamani mnaiche kabisa
  sijui hilo swala..mewata wamesema leodgar tenga akawaambia waende kwa boniface ambae
  nae akawaambia no comments akaondoka akawaacha offisi

  watanzania hizi mechi za simba na yanga tuanze kuzikana kabisa aiwezekani tunawavumbisha washenzi wachache
  matumbo yao hii imetosha....tutauuzuria tu mechi oljoro na jkt polisi
   
 2. M

  Maga JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hii balaa mhh
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndio zao hizo hao..
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Habarri zaidi zinasema mewata wameepeleka malalamiko kwa waziiiri husika kwa kudai million 30 kama walivyotangaza wamepata million 300 so asilimia 10 ni million 30..wakati wakiongea hayo mmoja wa ma dk wa kike aliekwenda kutaka kujua zaidi alisema aliitwa na angetile mmoja wa viongozi wa tff na kutaka kumpa 10million nyingine na kuhakikishiwa awatopiga kelele tena huku akiingiziwa million 2 kwenye acc yake hata hivyo dada huuyo amesema alishaapa kutowadhulumu watanzania tangu anaanza kuota udk na kuomba kama anaweza awape cheki ya million 12 then waandikiane 8 ataitoa lini

  mwenye akili unaweza jua kama angetile amesema hivyo means million 8 nzima ziko kwenye mashamba ya watu (matumbo) zikirutubishwa shame tff

  wapi viongozi wa timu jamani tunaitaji kampuni tumechokwa kuongozwa na genge la wahuni lakina tenga \walianza ndolanga tumewasahau sasa hawa wamejibadilisha jina wanajiita mafisadi wa soka tuwakimbize walahi kama mngeweza wangebadilishwa tangu duru ya pili..awakutakiwa kuendelea na duru ya pili kabisa weziiiiiiii wakubwaaaaaaaaaa
  pumbavuuuuuuuu zaooooooooooawajuiiiiiii wanwaibia wale maskini wagonjwa waliotakiwa kupewa msaadaaaa na nyie mewata

  mbona amtuonyeshi mchanganuo yenuuuuuuu kila sikuuuuuuuuuuuuuu mnapokeaa mnapokeaaaa tuuuuuuuuuuu elezeni mefanya anini mmeiba ngapi ngapi zimeingia matumboni ngapi zimeenda kwa wagonjwa ngapi zimebaki kwa emrgencyyyy sio mnapiga keleleeeeeeeee tu watanzania tunataka uwazi wizi na ukweliiiiiiiii
   
 5. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  pdidy hivi umeishia darasa la ngapi!? Mbona kuandika hujui!!
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  la pili SIJASOMEA UANDISHI WA HABARI MPWA
   
Loading...