Timu gani ya Uingereza ikishinda mashabiki wao wana kelele sana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Timu gani ya Uingereza ikishinda mashabiki wao wana kelele sana?

Discussion in 'Sports' started by Bujibuji, Nov 5, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  Jamani nilikuwa nimejilaza kwenye kuchi baada ya uchovu wa kutwa nzima.
  Usingizi ulikuwa mtamu sana na wenye ndoto za kitoto.
  Katikati ya usingizi mnono nashtushwa na makelele ya mashabiki wa soka "hamuwezi kuchukua Barclays, mmepigwa sita"
  mara sauti nyingine inajibu "mbona tumewapiga nyie nane?"

  mara ugomvi mkuvwa unatokea mtaani. Ni zogo, maneno ya kejeli na matusi.
  Nabaki nikijiuliza ni timu gani ya Uingereza ikishinda mashabiki wake wana maskelele, fujo na majigambo?
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hao uliowasikia ndio wenye makelele, fujo na majigambo!
   
 3. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nishajitoa kushabikia ligi ya mabwabwa.
   
 4. Bob Lee Swagger

  Bob Lee Swagger JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  ni Arsenal tu hiyo...
   
 5. M

  Maswi JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 897
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  man 6 ndo wana fujo sana
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  Lugha gongana
   
 7. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  timu za uingereza pamoja na mashabiki wao duniani kote wanaongoza na waziri mkuu wao David Cameroun.
  So jibu utakuwa ushalipata mkuu.
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  masaburi.com
   
 9. facebook

  facebook Senior Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nane, sita, tano!
  Wote hao wanamakelele
   
 10. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  1.manure
  2.chelsea
  3.arsenal
  MASHABIKI WA TIMU NYIngine waNAtilisha huruma
  hao wa kwanza wamefanya nichukie kabisa epl
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Liver mkuu.
   
 12. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 3,580
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  SIMBA na YANGA mzee au vipi!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...