Man utd have not lost a game againts Newcastle utd at old Trafford since february 1972
(since the W 21.D 7
Man utd have not been beaten in their last 18 game vs newcastle.The marpies last beat...
:shock:Is it really wanajamii? Am not so sure, kama wakina Gervinho, Arteta, Song na n.k. wasingekua wanamtengenezea nafasi za za kufunga RVP sidhani kama kama mapundits wangesema hivi! Nyie...
Hebu tuchangie mawazo kupata timu ya wachezaji bora wa mpira wa miguu waliowahi kuchezea Taifa Stars katika kipindi cha miaka 50 iliyopita. Wale waliowashuhudia wachezaji wa miaka ya mwanzoni mwa...
Paulsen anaendea kupata changamoto baada ya timu yake kushuka hadi nafasi y 139 ukilinganisha na kpindi cha Maximo ambapo timu ilikuwa nafasi ya 98. mi ndo maana hadi leo namkubali maximo kwa...
Wale wafuatiliaji wa matangazo ya mchezo wa mpira wa miguu(soccer) katika Tv tumezoea kuonyeshwa hii kitu. Labda utakuta 53%-47%. Nimekuwa najiuliza hii inakokotolewa vipi katika mchezo? Ni idadi...
Huyu jamaa toka ametangazwa kuiongoza kilimanjaro starz naona anakosa kujiamini kabisa
kila kukicha anakimbilia vyombo vya habari mara kunakushindwa mara, tukishindwa msilaumu tumelilia timu...
Wadau nataka niwe member wa jf je nitaratibu gani zanatakiwa kufuatwa?Je nikitaka kujiunga na golf ili nijifunze golf nini nifanye ili niweze kufanya hivyo?
Karibuni tuangalie live game kati ya MAN CITY VS NEWCASTLE UTD mida hii. Game limeanza muda huu
LINK Manchester City vs Newcastle United Live Stream Online
:poaRooney's stunning overhead kick for Manchester United against Manchester City in February is one of the 10 nominees.Barcelona's Lionel Messi is also in the running for his goal against Arsenal.
Katika hali ya kustaajabisha na ambayo mwenyekiti wa tff tenga anaendeelea
kuiendekeza kwa kugaiwa kamgao cha kipumbavu ile mechi ya simba na yanga ya ngao
ambayo walisema asilimia 10 inakwenda...
Wakuu wapenda ngumi hili pambano la kukata shoka linaanza si mda mrefu.
Wale wanaotaka kuona kwa bure nendeni: http://www.magictv.co/
Powa tuungane pamoja tuzungumzie pambano.
Timu ya Netball ya Ofisi ya Waziri Mkuu imetolewa kwenye mashindano ya SHIMIWI na kufutiwa ushindi wa mechi zao zote 4 kwa kuchezesha wachezaji ambao si watumishi wa Ofisi hiyo, wamechezesha...
Haya mechi iliyokuwa ikifanyika uwanja wa taifa kati ya Taifa Stars dhidi ya Chad imekwisha, timu ya Chad imeibuka kifua mbele kwa goli 1 na Taifa Stars 0,pamoja na kufungwa Taifa Stars inaendelea...