Tanzania yashuka hadi nafasi ya 139 katika viwango vya fifa

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Paulsen anaendea kupata changamoto baada ya timu yake kushuka hadi nafasi y 139 ukilinganisha na kpindi cha Maximo ambapo timu ilikuwa nafasi ya 98. mi ndo maana hadi leo namkubali maximo kwa mipango yake endelevu ukilinganisha na huyu Paulsen. na jinsi mambo yanavyo enda hamna dalili ya kupanda katika viwango vya fifa.je tufanyeje ili kuboresha mpira wa tanzania? wapi tunakosea? over
 
Back
Top Bottom