Tenga-Raisi wa TFF aula tena

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
KAPATA NAFASI KUIONGOZA THE Council of East and Central African Football Associations (CECAFA)

TengaReodgar(1).jpg
 
good news, namkubali huyu bwana, at least anatofauti na baadhi ya viongozi wa mpira waliopita
 
good news, namkubali huyu bwana, at least anatofauti na baadhi ya viongozi wa mpira waliopita

UZURI NI KWAMBA HUYU BWANA ALIUCHEZA MPIRA

na anania ya dhati ya kuinuwa kiwanga cha soka bongo,tatizo ni kuwa wachezaji wetu hawapo kisoka zaidi wao wapo kubeba madawa na kuvuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom