Mpira ndo unakaribia kuanza. leo sijui nani ataibuka mshindi. porto wanaongoza ligi ya kwao. wameshinda mechi tano mfurulizo huku wakiruhusu goli moja tu. manchester city na wao wapo kamili. hapa...
huyu jamaa ni mpenzi wa man utd,lakini anapokuwa anachambua mechi huwa anaonyesha mapenzi ya wazi wazi mno,kila ki2 utasikia pale ingejuwa man utd/ferguson!wachambuzi wote huwa wana mapenzi na...
In one of the most touching moments of the final, Zambian coach Hervé Renard gave his winners medal to Zambian FA president Kalusha Bwalya, who only survived the fateful crash as he was playing...
Nashangaa kuona mtu tena aliyejijengea sifa sana kama Shafii daudi, kila kukicha haishi kuliponda soka la bongo,
unajua watu kama hawa sometimes inageuka kuwa kero kwa sisi mashabiki hasa...
Mod. Napendekeza u-sticky pia topic ya Real Madrid kama walivyotendewa haki washabiki wa timu nyinginezo za majuu. (Binafsi siioni katika topics zilizopo).
Soka ndio mchezo wenye wapenzi wengi Tanzania na Duniani kwa ujumla,ili mchezo wa soka uwe wenye mvuto ni lazima sheria zinazouongoza mchezo huo zifuatwe.Waamuzi ni watu muhimu sana umuhimu wao...
To me SENEGAL, here is their squad that tells more...
Goalkeepers: Khadim Ndiaye (ASC Linguere), Bouna Coundoul (New York Red Bulls, USA), Pape Latyr Ndiaye (Ouakam)
Defenders: Kader Mangane...
Wanna stream live football in HD? Serie A, EPL, La Liga, BundesLiga and more? Here is what you got to do:
Make your coffee before kick off
Get sopcast, streaming software here >>>
Now go to the...
Wananchi wa ZAMBIA wanasherehekea ushindi katika viwanja vya wazi,wale wenye nafasi wanaweza kutazama. Underdog ZAMBIA imeweza kumuuwa TEMBO kwa kutumia CHIPOLOPOLO au...
Zambia wamefanya jambo ambalo limewashitusha wengi. Wengi walisema kama siyo Ivory Coast basi itakuwa Ghana. Mambo yamekuwa kinyume kabisa. Leo ule usemi usemao umdhaniaye ndiye siye umetimizwa...
Ama kwa hakika ushindi ni mtamu sana,wale wenye mapenzi ya dhati na si ya dharura kama wakati una nafasi ya kuangalia hiyo tv. Kuna viwanja zambia wananchi...
Ligi imenoga wapendwa, Azam yuko pointi mbili nyuma ya vinara, Simba, wakiwa na michezo sawa.
Yanga Afrika yuko nafasi ya tatu, akiwa na pointi 31, moja nyuma ya Azam, lakini akiwa na faida ya...
nadhani wachezaji wa kiafrika wangewekeza juhudi zao katika soka kama wanavyokuwa busy na nywele na mapambo mengine usoni kama hereni na kujipaka rangi chini ya macho (Salomon Kalou), tungepata...
Gettyimages
Zambia coach Herve Renard has likened himself to Real Madrid coach Jose Mourinho, boasting that he is the chosen one.
The Frenchman has every reason to be a happy man after having...