wimbo wa Yanga Africa wa pepe kale unaniuzi kishenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wimbo wa Yanga Africa wa pepe kale unaniuzi kishenzi

Discussion in 'Sports' started by alphoncetz, Jul 29, 2012.

 1. alphoncetz

  alphoncetz JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huu wimbo wa yanga africa ulioimbwa na pepe kale, mimi siupendi yaani uaniuzi kishenzi.

  Na sasa kuanzia jana nasikia unapigwa sana kwenye radio mbalimbali sijui sbabu yake nini. Wimbo mbovu sana huu
   
 2. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Yani ht sio mzuri,unakera!
   
 3. C

  CHIEF MVUNGI Senior Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyie hauwakeri kama unavyonikera miye
   
 4. Gulaya

  Gulaya JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 660
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  yan mie ndo zaid nkiuckia naweza vunjavunja radio aaaarrrrghh
   
 5. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Ushabiki Simba na Yanga, kazi kweli kweli.
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Na mtakereka sana kwani YANGA imewafanya vizuri! wimbo sio tatizo,tatizo ni YANGA!!
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Napenda Yanga sana hila Rangi tu ndio kikwazo,yanga africax2 wa mataifa!!
   
 8. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  yanga walibebwa kwa mbeleko kuingia fainali.Lile bao katika muda wanyongeza halikuwa halali! Ila nikawaida yao kubebwa,tunakumbuka mwakajana ilikuwa hivyo hadi wakafika fainali. Niwakati wa cecafa kuhamishia mashindano nchi nyingine ili tuone huo uwezo wa yanga.Tumechoka makombe yakubebwa.
   
 9. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  pole sana
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hakuna timu ya kitanzania iliyowahi kupewa heshima kama waliyoipata yanga.mungu amlaze mahala pema peponi hayati kabasele ya mpanya pepe kalle mutu ya miraba minne.
   
 11. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  yes yanga inabidi rangi wabadili maana ngumu mno kushabikia timu yenye rangi kijani manjano
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hiki kikosi ndicho kilichokufanya uanze kuichukia hiyo nyimbo.
   
 13. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ni kweli hata mimi nimechoka kwa hizi timu kubebwa mfano ni Kombe la ligi kuu mwaka huu Simba walibebwa mbele ya Azam, nilifikiri tumejifunza lakini kumbe wapi yakajirudia kwenye lile kombe la urafiki alilopewa SIMBA FC
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ila ndo hivyo,ukifika wakati wa mvua kunyesha,itanyesha tu! upende usipende! hii ndo YANGA bana!
   
 15. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Me love dat song...
  Yanga Afrika....hadi raha
   
 16. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,898
  Likes Received: 4,750
  Trophy Points: 280
  Mkia hamna hoja.
   
 17. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nyimbo kwani ziko ngapi?
  Sema 'wimbo' wewe kilaza!
   
 18. aye

  aye JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  simba limewashika balaa hili la yanga kuchukua ubingwa mara ya pili
   
 19. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  mtaweweseka sana, vp hela ya kununua penart mmeishiwa mmebaki kula rambirambi ya mafisango
   
 20. kongobelo

  kongobelo Senior Member

  #20
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 199
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  simba wewe!
   
Loading...