Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nilitarajia kuwa waziri wa utamaduni............. Angejikita katika kuhakikisha vyombo vyetu vya habari (television, radio, magazeti nk.) vinathamini utamaduni wetu hasa katika kutuhabarisha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba msaada wa kilipo chama cha riadha,binafisi naishi maeneo ya kimara si shabiki wa michezo lakini nimuomavyo msichana wetu wa kazi ni mutu ambaye itakuja kuwa lulu kubwa ya taifa hili,mutu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
My fellow artists, am looking for shops where they sell painting stuffs like brushes, boards, oil paints and so forth here in DSM. If anyone knows, pls PM me.
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Hii ni timu ambayo nimekuwa nikiipenda tangu udogo, bila kushurutishwa na yeyote na bila shinikizo lolote. Inaitwa Texas Dume, inapatika Mikocheni 'A' kuanzia mtaa wa Masjid Nawal mpaka Kidosho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mchezaji mkorofi wa Manchester City,Mario Balotteli amefungiwa na chama cha soka Uingereza kucheza mechi nne baada ya kumpiga/kumchezea faulo mchezaji wa Tottenham Scot Parker. Uamuzi huo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mchezaji alieingiza botswana kwenye mashindano ya afrika leo anacheza na ghana ajawahi kucheza ligi yoyoyte botswana zaidi ya kucheza michezo ya mchangani kwa kukodishwa ..kijana huyu ndie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vitendo vinaongea kuliko maneno . Ni maajabu kbc ni kama tbc lakini mkwr naona ame relax hailewi hata jirani yake kibaki anafanya nini. Ee mungu mrehemu huyu kiumbe mapema maana haisaidii dunia yako
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Reader Beware. This is a very long article. If you're not a "fan" of reading long articles then please move on to the next thread...
0 Reactions
4 Replies
961 Views
Wakuu wenzangu wa kandanda tujiunge pamoja kama kawaida yetu kwenye mechi hizi mbili kali leo. Mtoto atumwi dukani.
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Sofapaka and Harambee Stars defender John Njoroge has been awarded Sh1million by world football governing body Fifa after a legal tussle against Tanzanian club, Yanga. The Tanzanian club was...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
...Zikiwa zimebaki siku mbili kuanza kwa mashindano ya kombe la Afrika,masikio na akili za watanzania zimetegemee kusikia uchambuzi wa kijinga na kinazi toka kwa hawa wachambuzi wa kitanzania...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mashabiki wa Barca noma, ona wanavyomlinganisha Pepe katika picha hii?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukiondoa dstv ni channel gani za hapa nyumbani zitarusha hiz mechi msaada pls.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
SANTA ANA, Calif. (AP) Reports: Kobe's wife files for divorce Kobe and Vanessa Bryant have been married for more than 10 years. Kobe Bryant's wife, Vanessa, filed for...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
CAF will bring you a LIVE coverage of the Orange CAN 2012 matches Gabon news - Orange Africa Cup of Nations 2012 - CAF Referees No NAME COUNTRY 1 Maillet Eddy Allen Seychelles...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tanzanian Basketball Super Star, Alphaeus David Kisusi 19 year’s old, National team and Vijana "City Bulls" Basketball player left on tuesdya 17th Jan, 2012 for Canada. Alpha will be studying...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Friday, 20 January 2012 Mwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga (kulia) akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa NEDCO, Dk. Ambwene Mwakyusa kwa ajili ya makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
the game z over and madrid has been defited in her home ground.....carles puyol scored an equalized goal and then in 70's minute abidal scored the wining goal.....vamos barca
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo kwa mara ya kwanza tumeweza kuona Live game ya BARCELONA NA REAL MADRID kupitia ving'amuzi vya StarTimes sisi mambo kama haya ndo tunayataka hatutaki kwenda baa!!! afu nasikia from next...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Nimeshangazwa na gazeti hili leo kuna na habari waliyoipa uzito wa juu kabisa ya Milovan apata kikosi Simba lakini habari yenyewe fupi mno na waliyoandika ni maelezo ya kawaida na mahojiano...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom