spoti kizaazaa!!!

GP

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
2,049
160
kipindi cha spoti kizaazaa ITV jumapili usiku mida ya saa tatu aka "hospitali ya michezo",
kipindi hiki huwa nakifuatilia sana, lakini nashngazwa na jamaa mmoja mle ndani anaitwa abdul kipenga, huyu jamaa sijui ana bifu na sunday kayuni???
hata iwe topic gani asipomzungumzia sunday kayuni kwamba hafai tff haoni raha!, huwa ananiboa sana.
 
Inawezekana wana bifu waachie wenyewe na sio mimi....
 
Sunday kayuni ni mkurugenzi wa ufundi wa tff kazi yake ni kuandaa mfumo mzima wa mchezo wa soka tanzania kuanzia programu za vijana,mafunzo ya makocha na mambo mengine ya kiufundi matokeo yote mabaya lazima awajibike tumebadilisha makocha na wengine tukiwaona hawafai lakini ukifatilia kwa undani tatizo sio makocha ila ni yeye kama mkurugenzi wa ufundi pia tunalalamika sasa hivi tumeshindwa kuzalisha vipaji hii pia ni kazi yake kwa kifupi kocha wa taifa anachaguliwa kwa mapendekezo yake na pia anakuwa chini yake
 
kipindi cha spoti kizaazaa ITV jumapili usiku mida ya saa tatu aka "hospitali ya michezo",
kipindi hiki huwa nakifuatilia sana, lakini nashngazwa na jamaa mmoja mle ndani anaitwa abdul kipenga, huyu jamaa sijui ana bifu na sunday kayuni???
hata iwe topic gani asipomzungumzia sunday kayuni kwamba hafai tff haoni raha!, huwa ananiboa sana.

Nani hajui Kayuni ni donda ndugu pale karume

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom