Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ndugu zangu naombeni msaada wa kufahamishwa hii mechi inaonesha na TV station gani maana SS zote naona hamna kitu. Pls wadau
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani tambo zote za mourno zinazidi kugonga mwamba!leo baada ya dk 13 christiano ronaldo kufunga bao la kuongoza,nikajua tu ndio staili yao ya siku zote kutangulia na baiskeli ya miti,wazee wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
R Madrid 1-2 Barcelona ... Ronaldo 11". Puyol 49" & Abidal 77" FULL TIME..
0 Reactions
2 Replies
999 Views
wakuu habari zenu, nataka kujua ntapata wapi laptop skins za club za Uingereza Liverpool, Arsenal, Chelsea na Manchester United kama hizo katika picha hapo kwa hapa Dar na Arusha??,,,nashkuru...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Young Africans Sports Club YANGA SEALS A PROMO DEAL
0 Reactions
2 Replies
1K Views
timu ya Azam FC Baada ya kufanikiwa kutwaa Kombe la Mapinduzi uongozi wa timu ya Azam FC umesema kwamba zama za Simba na Yanga kuongoza soka la Tanzania zimepitwa na wakati na sasa wanaelekeza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
“Age is what you think it is. You are as old as you think you are.” “Frazier is so ugly that he should donate his face to the US Bureau of Wildlife.”
1 Reactions
1 Replies
925 Views
Hizi game balaaa piga ua lazima afe mtu napredict watoto wa London kutoka kidedea... Sunday, 22 January 2012 Man City v Tottenham, 13:30 Arsenal v Man Utd, 16:00
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Inside Thomas and Rose Barwuah's third-floor council flat above a row of shops in Bagnolo Mella, on the outskirts of Brescia in northern Italy, photographs of their family adorn the walls. There...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rivaldo has chosen to play in some unexpected destinations since leaving Milan in 2004, having spent two years with FC Bunyodkor of Uzbekistan from 2008 Brazilian World...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa hili vyema sana SAF. Kwani huu ndio mtazamo wa mtu anajua na kufahamu soka vilivyo. SAF amekiri hayo wakati wa mahajiano katika kuelekea kutangazwa kwa washindi mbalimbali wa tuzo za soka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kocha wa real madrid amehapa kuwa zamu hii ni zamu yake kutoa kipigo kitakatifu kitakacho iduwaza dunia kwa barca!ktk mechi ya kwanza ya kombe la mfalme itakayo chezwa j.tano ijayo ktk wa uwanja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
FC Barcelona - Cheaters, Liers, Actors ?? ALL true *for FCB Supporters - YouTube
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Muslim brothers behind Tim Tebow Movement10:01 PM, Jan 9, 2012 | 12 comments - A A A + Written byEric Kahnert FILED UNDER Denver Broncos Home Local News Sports As Seen on...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Leo ni Leo kati ya messi c ronaldo xavi
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Bofya hapa kuona video ya tukio hilo Goalkeeper suffers epic nightmare Angalia video hapo juu ambayo makipa wengi wasipokuwa waangalifu wanaweza kuisababishia timu magoli ya kizembe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana thierry alifunga bao dhidi ya Leeds akiwa amevaa jezi no 12, zikiwa zimesalia dakika 12 mchezo kwisha, likiwa ni bao la 12 dhidi ya Leeds United, na ni Mara ya 12 kukutana na Leeds, na huu ni...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
jaman me hapa hata cjielew,naona kama kesho ndio mwisho wetu na hao liva walivyo na usongo na ushindi tutakoma ukizingatia wanatufungaga na kikosi chetu hakipo sawa basi dah...nipeni mahope jaman..
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika mechi kati ya Arsenal na Leeds,Thiery Henry alivaa jezi namba 12,alifunga bao dakika 12 kabla ya mchezo kuisha,lile lilikuwa ni bao lake na 12 kufunga dhidi ya leeds>na huu ni mwaka 2012.
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Nyilawila aukana ubingwa WBF Monday, 09 January 2012 21:01 Imani Makongoro, Mwananchi. BINGWA wa dunia wa Shirikisho la Ngumi za Kulipwa duniani (WBF), Karama Nyilawila ametangaza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom