Simba mjipange msije mkashuka daraja msimu ujao wa ligi kuu ya Vodacom! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba mjipange msije mkashuka daraja msimu ujao wa ligi kuu ya Vodacom!

Discussion in 'Sports' started by daniel don, Jul 30, 2012.

 1. daniel don

  daniel don Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika mwaka ambao Simba wamelamba galasa ktk usajili wa wachezaji wapya ni mwaka huu 2012. Mchezo ulioonyeshwa na watani ktk kombe la Kagame ni wa kiwango cha chini mno hata hivyo sijui waliingiaje hatua ya robo fainali na timu mbovu kiasi kile niliitamani sana Simba ikutane na Yanga wafundishwe soka na mbelgiji Tom..Nikiwa kama shabiki wa Yanga ningependa nimshauri mtani kurejea kwenye usajili Lasivyo Itashuka daraja watu wamejiandaa msimu huu...nadhani mnamsubiri Okwi arudi.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Labda mtazilipa hizi...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mtani ukiona hali ni ngumu, tunaweza tukawaazimisha wachezaji wetu toka kikosi cha Bunge!!!!!

  417607_331661523584515_1635699983_n.jpg
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Hili gonjwa baya sana......naona linawasumbua sana.......mpaka liwatoke kichwani ni miaka mingine 35......mara ya mwisho mliugua 1977 kwa 6-0

  [​IMG]
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hehehe! Simba bana wameloooowa!
   
 6. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145


  Wazee wa historia MUJAR'AB
  Itawachukua muda sana Simba/Azam kusahau hii game.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watani wako ICU, yaani wana mpango wa kumsajili Ngeleja na Tegete?
  Kweli wacha wazimike kwa juice, Simba akilemewa hula nyasi
   
Loading...