Hizi ni chuki kwa yanga

ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,511
2,034
1. Eti yanga ni ccm wakati yanga ilianzishwa mwaka 1935 ccm 1977.
2.watangazaji jana kwa mfano clouds fm wameitangaza fainal kwenye michezo yao kwa dakika3.

3. Wandishi wa habari kuponda usajiri wa yanga na kusema wamagazeti jana wakaumbuka.

4.kuchukizwa na ujio wa manji na kumponda wakati wa kampeni wakaumbuka na media zao.

Angalizo. Kama mlishindwa kuisambaratisha yanga mwaka jana poleni sana,. Yanga ni mbele tu nyuma mwiko.
 
Clouds wali'bore sana,muda kibao waliutumia kuisifia Azam siku ile ilipokata ticket ya kucheza fainali jana dk 3 tu washahama....watajibeba,Mwali ndo hivyo kesharudishwa Jangwani tena
 
Waliwezesha mwaka jana kunyang'anywa point na kufungia wachezaji,. Yanga ya mwaka huu haikamatiki
 
Back
Top Bottom