Olympic live:kwenye ndondi Tz vs Moldovia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Olympic live:kwenye ndondi Tz vs Moldovia

Discussion in 'Sports' started by MI6, Jul 29, 2012.

 1. M

  MI6 Senior Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Bondia wa Tanzania Kidunda amepigwa na bondia wa Moldovia mda mchache uliopota.
  kapigwa kwa point
  8-2, 5-2, 7-3.
  Footbal:
  Misri 1-Newzland 1.
   
 2. cement

  cement JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hii kali bora wangekuwa hawaendi tu tuwe tunajua moja!tatizo wanaoenda hawana uwezo wowote kupoeperusha bebdera yetu sema wanapelekana huko kiukoo ukoo tu!cjui kama tutakuja kubadilika!
   
Loading...