Barua ya wazi kwa azam fc

mashami

Senior Member
May 8, 2012
183
27
Salaam...
Sisi wapenzi na mashaibiki wa
yanga Tunapenda kuchukua
uamuzi mgumu.UAMUZI
WENYEWE NI KUWA HATUTAKI
URAFIKI WA AINA YOYOTE NA
NANYI YANGA NI TIMU KUBWA SANA
NDANI NA NJE YA
AFRICA.HIVYO BASI HISTORIA
YETU HAIFANANI HATA KIDOGO
NA NINYI.YANGA NI TIMU YA
WANANCHI NA SISI HATUMILIKIWI NA MTU KAMA
NINYI.BAKHARESA AKIAMUA
ANAUZA KILA KITU CHA TIMU
NA HAKUNA WA KUMULIZA.ila
timu yetu sio ya mtu binafsi. YANGA NA MALI ZOTE ZA
YANGA ZITABAKI KUWA MALI
YA YANGA NA SIO MALI YA MTU
KAMA AZAM.
Sisi yanga ni mabingwa wa
kagame mara 5 na tuna mashabiki zaidi ya milion 30 na
tunazaidi ya miaka 75 kwahiyo
AZAM ISIJARIBU
KUJIFANANISHA NA SISI. Watafuteni simba muanze nao
urafiki maana hata jana
uwanjani walikuja
kuwashangilia.
MWISHO
MWISHO TUNAIPONGEZA AZAM
KWA KUFANIKWA KUCHEZA NA
SISI FAINAL YA KAGAME
HALAFU TUKAWAFUNDISHA
SOKA.
Ushauri wa bure kwa
Azam.mpira na biashara
haviendani.wachezaji
wanatengeneza
michapati.mikate na juisi
kuanzi asubuh hadi saa nane.ndipo anaenda uwanjani.
MSITUMIKIE MABWANA WAWILI
KAMA NI MPIRA CHEZENI MPIRA
KAMA CHAPATI BASI ACHENI
MPIRA MPIKE MICHAPATI YENU NAOMBA
KUWASILISHA

MPIRA BILA VIJEMBE HAUNOGI
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Back
Top Bottom