Fifa yailazimu Yanga kumlipa Mkenya Ksh Milioni Moja

Ni habari nzuri kwani klabu zetu zimezidi ubabaishaji, watu wanaendesha klabu kisanii acha washikishwe adabu. :poa
 
Hawa viongozi wa Yanga wa miaka hii ni wababaishaji sijaona mfano wake, halafu wengine ni wanasheria, sijui kwanini wanadhalilisha taaluma zao. Suala la Njoroge lilikuwa awzi hata kwa mimi mbumbumbu wa sheria.
And they have to pay within 30days, waanze kutembeza bakuli sasa kama kawaida yao.
 
Ni habari nzuri kwani klabu zetu zimezidi ubabaishaji, watu wanaendesha klabu kisanii acha washikishwe adabu. :poa
tena ubabaishaji usio hata na macho,

huwezi kukataa kumlipa mtu pesa yake eti kwa kuwa hakutuonyesha vyeti vyake,na ilikuwaje kuifundisha timu kwa kipindi choote hicho? baada ya kuona yapo shingoni ndio watu wanakuja na visingizio kibao

watoe tu hiyo pesa,kwani ubabaishaji umezidi
 
Mbona unatuchanganya, mchezaji naye anaonyeshaga vyeti? Na kama ingekuwa mpira ni vyeti basi bongo ingechukua kombe la dunia.
 
Back
Top Bottom