Startimes mambo si hayooo!!! Dstv wasitutese!!!!

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,939
2,250
Leo kwa mara ya kwanza tumeweza kuona Live game ya BARCELONA NA REAL MADRID kupitia ving'amuzi vya StarTimes
sisi mambo kama haya ndo tunayataka hatutaki kwenda baa!!!

afu nasikia from next seasons UEFA YOTE mmepata RIGHT ZA KUONYESHA afrika nzima!! big up sana, jitahidini sana

pia kumbukeni kuboresha huduma zenu!!!!!

startimes ' the real for tanzanian, tumkomeshe bebari DSTV'
 
Ukweli tumetesa wenye Star Times, watu wote wanaulizia matokea toka kwetu. Halafu si tu tumeona, jamaa wanazitaja nchi ambazo wameungama nazo kwenye matangazo hayo na Tz nayo inajatwa raha kweli kweli.
 
Mimi with Abudhabi Sports naona mechi zote za mpira na matukio mbalimbali ya michezo duniani live kwa gharama ya dola 109 tu kwa mwaka na zote nazipata kwenye HD.
 
Kwa 9,000/= tsh tu kwa mwezi nasi tumeanza kuona EL classico, ingawa si HD!.
 
Hi,StarTimes jana wameokoa sana kwani nilikuwa natoamacho kwenye DSTV yangu ya "KIMJINI" lakini hawakuweza rusha.Kiufupi watu wanafaidi DSTV ingawaje kuna initial cost ambazo ni sawa na malipo ya nusu mwaka kwa premium
 
Leo kwa mara ya kwanza tumeweza kuona Live game ya BARCELONA NA REAL MADRID kupitia ving'amuzi vya StarTimes
sisi mambo kama haya ndo tunayataka hatutaki kwenda baa!!!

afu nasikia from next seasons UEFA YOTE mmepata RIGHT ZA KUONYESHA afrika nzima!! big up sana, jitahidini sana

pia kumbukeni kuboresha huduma zenu!!!!!

startimes ' the real for tanzanian, tumkomeshe bebari DSTV'
Wasiwasi wangu nao wasije kuwa kama DSTV,wakaanza kutuletea bei za ajabu kwenye hivyo vifurushi vyao kwa kupata kibali cha kuonyesha UEFA,maake'' Mswahili ukimsifia tembo hulitia maji''
 
kuna mwendawzimu mmoja humu jf alisema anataka kutupa king'amuzi cha startimes ..wakati ndio huu.....
 
Leo kwa mara ya kwanza tumeweza kuona Live game ya BARCELONA NA REAL MADRID kupitia ving'amuzi vya StarTimes
sisi mambo kama haya ndo tunayataka hatutaki kwenda baa!!!

afu nasikia from next seasons UEFA YOTE mmepata RIGHT ZA KUONYESHA afrika nzima!! big up sana, jitahidini sana

pia kumbukeni kuboresha huduma zenu!!!!!

startimes ' the real for tanzanian, tumkomeshe bebari DSTV'

Usifurahie sana hiyo mechi ni kombe ambalo labda hata huko spain labda watu wanaona mechi kwenye channel za free. Sio la liga Nadhani DSTV ndio wana haki ya premiere ligi za nchi kama UK(premier), Spain(la liga), na Italy(siere A)
 
yaah kumbuka pia startimes wana right ya kuonyesha SIERE A, pia UEFA from next seasons will be on air through starrtimes. so wakati ndo huu!!
 
Usifurahie sana hiyo mechi ni kombe ambalo labda hata huko spain labda watu wanaona mechi kwenye channel za free. Sio la liga Nadhani DSTV ndio wana haki ya premiere ligi za nchi kama UK(premier), Spain(la liga), na Italy(siere A)
Ukiacha EPL mechi za la liga, serie A, ligi ya Uhalanzi, France n.k zinaonyesha Star Times, ingawa si zote. Kinachokosekana kwenye Star Times ni EPL tu, na Epl yenyewe zinakosekana live lakini za kurekodi zimejaa kibao. Kama utavumilia kutazama mpira huku matokeo unayajua, basi pia nazo zinaonekana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom