African cup of nations-mataifa huru africa

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,313
Ukiondoa dstv ni channel gani za hapa nyumbani zitarusha hiz mechi

msaada pls.
 
Nimeona matangazo dstv wakionyesha watarusha kupitia channel yao namba 4 ya michezo. Lakn wengine hatuna dstv makwetu na tunataka kung'aza mtanange bila chenga.
 
Nimeona matangazo dstv wakionyesha watarusha kupitia channel yao namba 4 ya michezo. Lakn wengine hatuna dstv makwetu na tunataka kung'aza mtanange bila chenga.

BBC Idhaa ya Kiswahili watakuwa wakiwarushia matangazo ya moja kwa moja!
 
Nchi za wenzetu televisheni za Taifa wanaonyesha bila mizengwe.Sisi hapa kwetu TBC wanaona CHEREKO ndio dili!Lakini poa tu.Tutaona kupitia UBC na KBC kwa hisani ya star times.
 
wenye Madishi ya kawaida yenye LNB1 na KU-2 wataona kupitia KBC1 mechi za leo zinaanza saa 3.30 usiku
 
AFCON ni miongoni mwa matukio makubwa ambayo yamekuwa yakiwapa nafasi waafrika kuweka pembeni tabu zao na kushangilia timu mbali mbali zilizopata nafasi ya kushiriki mashindano hayo.
Mikidadi mahmoud, liongo, charles hillary, J. Nyaisanga, Dr. Liki miongoni mwa vionjo vilivyokuwa chachu ya mashindano hayo. ITV, channel ten na TBC walikuwa mstari wa mbele ku localize mashindano hayo.
Nini kimetokea mpaka mashindano haya yamekuwa biashara na watu wengi wamekosa fursa msimu huu, last season mzee tido alifanikisha. Kwa hakika watanzania wengi kutokuona manake msisimko utapungua na athari zake tutashindwa kujaza uwanja wa taifa na mara zote mashindano yamekuwa ndio benchmark ya performance na platform ya wachezaji kutoka.
Nini jamani kimetokea, mbona kbc kenya wanaonesha tbc wanapiga bongo fleva.
 
Naona Equtorial Guinea wamepata goli moja.
The goal was clear offside.
EQG 1 Libya O
 
Mimi lawama zangu sizipeleki kwenye vituo hivyo vingine.
Lawama zangu zinaenda moja kwa moja TBC, kituo ambacho kila mwezi ninakichangia kwenye kodi.
Kwa maneno mengine, serikali kupitia TBC wanavunja katiba kwa kuninyima haki yangu ya kikatiba ya kupata habari.

Nionavyo mimi JK amemweka Mshana pale, mtu ambaye ni lazima hana interest na vitu kama hivi.
Hayo ndiyo matokeo yake sasa, sisi tutabaki tunalalamika tu wakati wakiendelea kufyeka kodi zetu na kugombea matangazo na kuvinyima uwezo vituo vingine. Kiukweli hiki kitu sio tu kwamba kinashangaza bali pia kinauma sana jamani. Hii ni haki yetu kabisa kikatiba, tunashuhudia ikinyongwa na kutupiwa baharini.
 
Libya vs equatorial Guinea Equatorial Guinea - Libya

Mechi nyingine bofya hapa

Michezo - Teknohama Bongo

Some few facts about winners Equatorial Guinea - Libya
  • With an area of 28,000 square kilometres (11,000 sq mi) Equatorial Guinea is one of the smallest countries in continental Africa.

  • It is also the richest per capita.
  • However, the wealth is distributed very unevenly, with 70% of the population living under the United Nations Poverty Threshold of $2/day.
  • With a population of 650,702, Equatorial Guinea is the third smallest country in continental Africa.[SUP][6][/SUP] It is also the second smallest United Nations (UN) member from continental Africa.
Mechi inayofuata Senegal Vs Zambia

BTN
Thanks palalisote nilivyoona hii thread nikataka kuwashtua wadau wali mbali na big screen wanaweza kucheki mechi online. Kumbe tayari umewaambia watemblee gym nayotumia kukuzia misuli ya IT.
 
Back
Top Bottom